Jamaa hawajui matapeli, maswali kama hayo hata wenyewe wanajua wataweza ulizwa na wameshajipanga namna ya kujibi.. mbona hajafikiria hata ilo pori wametumia muda gani kulitafuta ikiwa wao ni wageni eneo hilo.Ukishatapeliwa maswali kama haya ndo yanaleta maana, ila kabla ya kupigwa we utakua unawaza kuondoka na 80 yako hata uambiwe uchimbe wapi hutawaza
Bashe nae ni tapeli tu. Kasema bei ya vanilla sio 1.5m ndio tunakubali, ila ajasema ni bei gani huko duniani.ππππ Sasa wale wa vanilla watasemaje na juzi bashe ndio kapigilia msumari kwenye kidondaπππππ
Hahahaha unatetea umewekeza nn vanilla village zanzibarππππBashe nae ni tapeli tu. Kasema bei ya vanilla sio 1.5m ndio tukabali, ila ajasema ni bei gani huko duniani.
No sijawekeza, ila mimi kama hadhira baada ya kusoma kichwa cha habari nilitegemea ndani ni kutane na bei halisi ya sasa, cha kushangaza mule ndani bashe iyo bei halisi ya sasa hakuitaja.Hahahaha unatetea umewekeza nn vanilla village zanzibarππππ