Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

Ukitulia zaidi na ukaona jinsi kundi la KIKWETE JAKAYA na wafanyabiashara wakubwa waliovaa mashati yale ya CCM na hawalipi kodi bandarini,wakati mwingine unaona ni atadhali Bandari ibinafsishwe tu ili wanaCCM Conkodi wakwepa kodi pale bandari nao waone umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya Taifa.Lzm tuseme kwamba UFISADI,na RUSHWA ya CCM ndio unahujumu sana Bandari ile.
 
Wazee wa bandari wana wasi wasi na ugali wao mkuu. Wameshazoea pesa za bure bandarini.
 
Uchambuzi wako umeegemea upande mmoja je hawa wanaopinga mkataba maisha yao yapoje tumemsikia rais mstaafu wa TLS akisema anatishiwa uhai wake
Geresha tu ile ili wazee wa bandari wamuongezee dau. Mkuu unakuwa kama sio wa mjini. Waswahili wanasema wajinga ndio waliwao.
 
Mkuu naona nimeshaweka wazi kwamba wanaoapinga mkataba wanahongwa vocha, basi na wewe umeamua kuwa upande wa wapingaji ili wakufuate PM.

Ongeza juhudi mkuu ili wazee wa bandari wakuone, sio waishie kuwafaidisha kina Lisu tu peke yao afu chawa muishie kupinga tu bila faida.
 
Hiyo vocha ni ndogo sana
Inategemea na uzito wa thread. Wanasiasa na wale wanasheria uchwara wanapenyezewa mpaka M1 na kuendelea. Afu hawa chawa wa mitandaoni ni vocha ya kuanzia buku 5, 10, 15 na kuendelea.
 
Jikite kwenye terms za mkataba acha porojo
 
We km unapewa hela kutetea ni wewe km wangekua na Hela kiasi cha kugawa vocha kwa kila mtu bila shaka hiyo mikopo unayodai walikopa kisa Wana uhakika wa kupiga pesa bandarini, bila shaka wangekua wanazitumia kulipa hayo madeni na sio kugawia watu.
 
Acheni kuhalalisha baadhi ya "grand assassin's" mlizozipanga .

Jibuni hoja kwa hoja. Acheni kupanga mauaji.
Mkuu kwa comment ya kichovu hivi usitegemee kutumiwa bando hata la mia 5, mana bado haujakidhi vigezo. Ongeza juhudi tu za kuponda, utakuta vocha yako tayari huko PM.
 
We km unapewa hela kutetea ni wewe km wangekua na Hela kiasi cha kugawa vocha kwa kila mtu bila shaka hiyo mikopo unayodai walikopa kisa Wana uhakika wa kupiga pesa bandarini, bila shaka wangekua wanazitumia kulipa hayo madeni na sio kugawia watu.
Wanajua wakifanikiwa kuzuia watarudisha hizi gharama kwa muda mchache.
Ongeza juhudi mkuu uwaokoe wazee wa bandari na wao watakuokoa kwenye swala la vocha.
 
Wazee wa bandari wana wasi wasi na ugali wao mkuu. Wameshazoea pesa za bure bandarini.
Manake wameshindwa kujiongeza we mtu unakula na kipofu unamshika mpaka mkono? Lakini kusema ukweli mm sijui niamini la yupi maana unataka kusema hata Pro. Shivji naye amesha lambishwa asali au yeye hakubaliani na mkataba ila ubinafsishwaji anaukubali? But all in all mm nasupport DP kwa asilimia 💯
 
Mungu hataruhusu kwa watu wema, ila wahovu hata kama sio kesho watakufa mdomo wazi
 
Ingawa unasema wasiolipa kodi ni CCM wa Kikwete, lkn wanaoonekana kuumia zaidi na ubafsishwaji ni wapinzani.

So za kuambiwa Changanya na zako.
 
Pumbavu
 
Mkuu kwa comment ya kichovu hivi usitegemee kutumiwa bando hata la mia 5, mana bado haujakidhi vigezo. Ongeza juhudi tu za kuponda, utakuta vocha yako tayari huko PM.
Sijaponda wala kupinda.
Jibuni hoja kwa hoja.

Planting soft assassin's will is just a bouyant technique.

That's easier any IT can do it
 
Shivji hupingana na kila kiongozi. Haijalishi swala liwe na faida au hasara kwa taifa yeye atapinga tu.

Pamoja sana mkuu.
 
Shivji hupingana na kila kiongozi. Haijalishi swala liwe na faida au hasara kwa taifa yeye atapinga tu.

Pamoja sana mkuu.
Sasa tushike lipi bro mbona Taifa langu linanivuruga ubongo wangu? Ni nchi gani inakosa usalama wa ndani mpaka kufikia nchi nikama inaongozwa na kilanmtu kisa tuu kigezo cha usomi?
 
Mungu hataruhusu kwa watu wema, ila wahovu hata kama sio kesho watakufa mdomo wazi
Wenzio hawamjui Mungu ndio maana kwa zaidi ya miaka 50, wao wanatafuna na kufanya anasa kupitia mabilioni ya bandari yetu. Huku mamilioni ya watanzania wanaoambiwa kuwa nchi yetu ina bandari wakishindia uji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…