Inatia uchungu sana,ila kama ulivyosema tuwe makini sana ila pia tumwombe Mungu awalinde,Maana huwa nikiwaona wazazi kina kitu moyoni huwa kinanihuzinisha
Shule za bweni nazo changamoto sana! Haya mambo yanaanziaga hukoMoyo wangu unafukuta kwa uchungu.
Pekee yetu kama wazazi hatuwezi kabisa..tufanye yatupasayo na yaliyondani ya uwezo wetu kama wazazi..mengine tuyakabidhi mikononi mwa Mungu.
Nasikia uchungu mnooooo [emoji30][emoji30]ni huzuni sana [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huu uzi wako umenipa huzuni mnooooo..kuna kitu kimenikaba hapa kooni Mungu wangu nashindwa kupumua vizuri 🥺🥺🥺🥺🥺Inatia uchungu sana,ila kama ulivyosema tuwe makini sana ila pia tumwombe Mungu awalinde,Maana huwa nikiwaona wazazi kina kitu moyoni huwa kinanihuzinisha
Angalau naweza kufikiria hili kwa baadae,maana huu mlima ni kazi kuupandaInasikitisha sana
kwakuwa wewe upo hapo kwa muda tu, yaache yalivyo. Ama ikikugusa sana basi andaa ujumbe wa siri(barua) au jitahidi upate namba ya baba yake umtumie ujumbe unaoeleza kama ulivyotueleza hapa. Huku ukimshauri baba yake achukue hatua atazoona zinafaa kumsaidia mwanaye
Dada vipi tena? PoleHuu uzi wako umenipa huzuni mnooooo..kuna kitu kimenikaba hapa kooni Mungu wangu nashindwa kupumua vizuri 🥺🥺🥺🥺🥺
Polee sanaa...adi unashindwa kupumua ukute umeiamsha coronaHuu uzi wako umenipa huzuni mnooooo..kuna kitu kimenikaba hapa kooni Mungu wangu nashindwa kupumua vizuri 🥺🥺🥺🥺🥺
Uko sahihi ukila hawa hio laana haitakuacha kwenye kizazi chako,kuna dhambi zinaambatana na laana,halafu huyu bado mdogo sanaKwa hyo wenye sura ya mama...ndo hvyo tena..
Eeh Mungu utujalie kutuepusha na fitna hzo katka familia zetu...
Na mtindo wa kuwala hao mash*ga mwsho wa sku unajikuta na wewe unazaa shoga ktk damu yako...coz karma is there
Nafikiria nifanye hivyo ila kwa sasa alishaenda shule mkoa tofauti na hawaruhusiwi simu kwahio mpaka likizo
Kuna sababu umezitoa hapo hazina Mashiko hata kidogo.na hizi sababu ulizozitoa inaonekana umeishia kusikitika tu lakini moyo haujapata kububujikwa kwa uchungu.Mungu wangu majibu yako ni mepesi😩😩😩Kuwaeleza wazazi wake kwangu ni ngumu sana kwanza sio watu ninaofahamiana nao ziadi ya kuwaona tu wakipita,pili Mimi huku ni kama mgeni tu maana huwa sikai hapa,halafu sasa tuhuma zenyewe nitakazopekeka kwao ni nzito mno,sijui kama kuna mzazi ataamini kirahisi
Ni huzuni jamani 🥺🥺🥺🥺Shule za bweni nazo changamoto sana! Haya mambo yanaanziaga huko
Umeongea kitu cha kweli kuhusu Saikolojia kwamba labda kujitambua kutamsaidia bahati mbaya huyu Dogo hana simuKabla ya kuanza kusoma huu uzi nilikua nina ile morning erection katikati ya uzi nikazidi kuerect now ukawa umechelewa kutaja jinsi yake so nikawa mara nakua on mara off ulipotaja jinsi yake ndiyo imekua off moja kwa moja.
Anyway, katika saikolojia na somo la youth delinquency tukakubaliana kwamba mtoto atastruggle kutafuta identity ya jinsi yake na hii struggle huipata wakati anabalehe. In fact science study moja inasema jinsi ya mtu hua haiwi determined at birth instead hua inakua learned na mhusika.
So kazi ya saikolojist siyo kumuambia aache kua alivyo ila ni kumuencourage kuipita hiyo njia bila hofu yaani sasa hivi aweze hata kuwaambia wazazi wake kwamba anapenda kumpapasa yule kaka wa duka la dawa.
Kama kuna mtu anadhani huyo atageuzwa akili awe mwanaume no it does not work that way. So nipe namba yake nimguide.
NB. Anayetakiwa kuuza duka la dawa kuna vigezo vya utabibu inabidi akidhi, so wewe, Rama na Denis wote mna hivyo vigezo?
Jamani Hebu na wewe mwambie 😢😢afanye japo kitu maskiniUnaposema mpaka atakaporudi utaongeza Tatizo,na huko shule vijana wengi huanza na kuwa jiwe kwenye huyo tabia,ili kumuokoa ndogo wako usiyefahamu Kama naye kajiingiza huko kwanini usiende?hawaruhusu kutembelea wanafunzi?watoto?wadogo zenu?
Chief acha aise..huwa sifurahishwagi na hizi Habari kabisa..Dada vipi tena? Pole
🥺🥺🥺Polee sanaa...adi unashindwa kupumua ukute umeiamsha corona
Kila mtu kampatia ushauri mzuri na unafaa ,kazi iliyobaki ni yeye kuchukua hatua mapema.Jamani Hebu na wewe mwambie 😢😢afanye japo kitu maskini