Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Shs ngapi unaliuza?
 
Mkuu unavyoamua kufanya hii kazi inabidi uwe na roho ya kikatili sana la sivyo utapoteza muda wako na ela, mbali ya kua na mkataba unaoeleweka ambao pia una wadhamini unaowafahamu ni bora uweke ndani chombo chako, na kama umempa mtu mkataba akienda kinyume kdogo ata kama kabakisha mwezi amalize unachukua chombo la sivyo utakua mtu wa kulia kila siku.
 
Gharama ya icho ki-device cha tracking ni kiasi gani,?
 
Mie sinaga hamu kbs...watu walipata laki 2 na wakati huo mbegu ya kiroba ilikua 60 elfu ..bado vibarua...na wakawa wanachagua mihogo mizr ile midg wanakuambia hatuchuki...unahangaika 9mths unakuja ambulia 200000!!
Teh teh teh bila shaka ni wachina fulani niliwaona TBC kwenye habari za biashara. Mwaka sikumbuki, ila walisema wamegundua kitu kwenye muogo.
So waziri wa viwanda na biashara wakipindi hicho aliwaasa watanzania walime muugo maana muogo ni dhahabu mpya😂😂🤣
 
Biashara za siku hizi zinataka uwe na wakati wa kuiendesha wewe mwenyewe la sivyo utalia, huwa naona kidogo biashara ambayo inaweza kuwa na nafuu akikaa mtu mwingine ni kama guest house pamoja na car wash, japo sina uhakika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…