Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shs ngapi unaliuza?Hata nashamba pwani kusafisha tu pori milioni ikapotea mda wa kupanda nimemaliza mvua ikakatia njiani hata kumi sikupata,hadi leo ni shamba pori nimeuza haliuziki atakale hata bure tampa ni heka 10.
Tunasaka pesa kwa mateso Sana lkn hazina huruma zipoteapo
asante mkuuPesa ndogo hio utapata
asante, sasa hata nisipokoment ndio ztarud?daaah yaani ulitapeliwa, afu unapata nguvu za kuendelea Ku comment!!!?
pole lakini mkuu
Mkuu unavyoamua kufanya hii kazi inabidi uwe na roho ya kikatili sana la sivyo utapoteza muda wako na ela, mbali ya kua na mkataba unaoeleweka ambao pia una wadhamini unaowafahamu ni bora uweke ndani chombo chako, na kama umempa mtu mkataba akienda kinyume kdogo ata kama kabakisha mwezi amalize unachukua chombo la sivyo utakua mtu wa kulia kila siku.Biashara ya boda boda ni biashara hatari sana kama hautakuwa maakini. Nina mfano hai. Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Sekondari alistaafu Utumishi wa Umma akaja akadanganywa na waendesha boda boda kuwa ili fedha zake ziongezeke kwa haraka basi anunue bodaboda ili aone mabadiliko kwenye maisha yake. Yule Mwalimu alinunua boda boda 40 na kila siku atakuwa anawasilishiwa Tshs.10,000 kwa kila boda boda kwa makubaliano na hivyo kwa siku atakuwa anapata Tshs.400,000 na kwa mwezi atakuwa anapata Tshs.12,000,000 Kwa mwezi. Huyu mwalimu alipata mawasilisho ya wiki moja tu na baadaye pikipiki zake zikaanza kupotea moja baada nyingine. Mara uharibifu mara madereva kukimbia na pikipiki. Inaonekana hakuweza kuchukua taarifa za madereva vizuri. Mpaka ninapoandika ushauri huu Mwalimu huyo hana hata pikipiki moja na mara nyingine kama vile anaongea peke yake. Nakushauri achana na biashara ya bodaboda labda mmiliki wewe ndiyo uwe dereva na siyo mtu mwingine.
Kawangari kangu sijui kako wapi😞😥😭What doesn't kill you makes u stronger!
Amka uendelee na safari.
Dah..pole sana Mkuu. Sipati picha huu msala. Ilikuwaje??Mie niliibiwa kwenye daladala 6.4 M mwezi uliopita tena ya Ofisi, nikitembea nahisi moyo unachomoka nikikaa nahisi hivyo hivyo ni mateso ambayo sijawi kuyapitia toka kuzaliwa kwangu.
Juzi nimerudisha 500K na kumaliza deni lote nimetumia 4 month's.Dah..pole sana Mkuu. Sipati picha huu msala. Ilikuwaje??
Dah pole sana na hongera.Juzi nimerudisha 500K na kumaliza deni lote nimetumia 4 month's.
hongera sana,Juzi nimerudisha 500K na kumaliza deni lote nimetumia 4 month's.
Kitambo
Gharama ya icho ki-device cha tracking ni kiasi gani,?Yani ulimpa deiwaka au mkataba?
Hukufunga tracker kwenye chombo?
Hamkupeleka mkataba serikali za mitaa ukasainiwe akiwa na mashahidi zake na picha zao wote passport?
Pole mkuu mimi ulitaka kunitokea mchezo kama huo, bahati nzuri nilimkamata boda wangu maeneo flani akiwa kajiachia vizuuri na boda langu, hapa tunaongea nimechukua boda na pesa yangu 400k+ ataitema, N.B tracker aliichomoa.
Teh teh teh bila shaka ni wachina fulani niliwaona TBC kwenye habari za biashara. Mwaka sikumbuki, ila walisema wamegundua kitu kwenye muogo.Mie sinaga hamu kbs...watu walipata laki 2 na wakati huo mbegu ya kiroba ilikua 60 elfu ..bado vibarua...na wakawa wanachagua mihogo mizr ile midg wanakuambia hatuchuki...unahangaika 9mths unakuja ambulia 200000!!
Mkuu extrovert pole sana. Mimi nilipigwa kama dollars 800 hivi hadi nililetaga uzi humu 2019. Nimemkopesha jamaa toka kwa mikono yangu halafu nikimdai ananiambia nikitaka nimuue ama niende popote.Mi nilichapwa 1M mzee baba na haikuwa yangu you can imagine nilikuwa na wakati mgumu kiasi gani
Dogo wewe hujawahi kupigwa?Dah..pole sana Mkuu. Sipati picha huu msala. Ilikuwaje??