Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Hata nashamba pwani kusafisha tu pori milioni ikapotea mda wa kupanda nimemaliza mvua ikakatia njiani hata kumi sikupata,hadi leo ni shamba pori nimeuza haliuziki atakale hata bure tampa ni heka 10.
Tunasaka pesa kwa mateso Sana lkn hazina huruma zipoteapo
Shs ngapi unaliuza?
 
Biashara ya boda boda ni biashara hatari sana kama hautakuwa maakini. Nina mfano hai. Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Sekondari alistaafu Utumishi wa Umma akaja akadanganywa na waendesha boda boda kuwa ili fedha zake ziongezeke kwa haraka basi anunue bodaboda ili aone mabadiliko kwenye maisha yake. Yule Mwalimu alinunua boda boda 40 na kila siku atakuwa anawasilishiwa Tshs.10,000 kwa kila boda boda kwa makubaliano na hivyo kwa siku atakuwa anapata Tshs.400,000 na kwa mwezi atakuwa anapata Tshs.12,000,000 Kwa mwezi. Huyu mwalimu alipata mawasilisho ya wiki moja tu na baadaye pikipiki zake zikaanza kupotea moja baada nyingine. Mara uharibifu mara madereva kukimbia na pikipiki. Inaonekana hakuweza kuchukua taarifa za madereva vizuri. Mpaka ninapoandika ushauri huu Mwalimu huyo hana hata pikipiki moja na mara nyingine kama vile anaongea peke yake. Nakushauri achana na biashara ya bodaboda labda mmiliki wewe ndiyo uwe dereva na siyo mtu mwingine.
Mkuu unavyoamua kufanya hii kazi inabidi uwe na roho ya kikatili sana la sivyo utapoteza muda wako na ela, mbali ya kua na mkataba unaoeleweka ambao pia una wadhamini unaowafahamu ni bora uweke ndani chombo chako, na kama umempa mtu mkataba akienda kinyume kdogo ata kama kabakisha mwezi amalize unachukua chombo la sivyo utakua mtu wa kulia kila siku.
 
Yani ulimpa deiwaka au mkataba?

Hukufunga tracker kwenye chombo?

Hamkupeleka mkataba serikali za mitaa ukasainiwe akiwa na mashahidi zake na picha zao wote passport?
Pole mkuu mimi ulitaka kunitokea mchezo kama huo, bahati nzuri nilimkamata boda wangu maeneo flani akiwa kajiachia vizuuri na boda langu, hapa tunaongea nimechukua boda na pesa yangu 400k+ ataitema, N.B tracker aliichomoa.
Gharama ya icho ki-device cha tracking ni kiasi gani,?
 
Mie sinaga hamu kbs...watu walipata laki 2 na wakati huo mbegu ya kiroba ilikua 60 elfu ..bado vibarua...na wakawa wanachagua mihogo mizr ile midg wanakuambia hatuchuki...unahangaika 9mths unakuja ambulia 200000!!
Teh teh teh bila shaka ni wachina fulani niliwaona TBC kwenye habari za biashara. Mwaka sikumbuki, ila walisema wamegundua kitu kwenye muogo.
So waziri wa viwanda na biashara wakipindi hicho aliwaasa watanzania walime muugo maana muogo ni dhahabu mpya😂😂🤣
 
Biashara za siku hizi zinataka uwe na wakati wa kuiendesha wewe mwenyewe la sivyo utalia, huwa naona kidogo biashara ambayo inaweza kuwa na nafuu akikaa mtu mwingine ni kama guest house pamoja na car wash, japo sina uhakika sana
 
Back
Top Bottom