Mkuu mimi naheshimu sana watu Bongo wanaoendesha biashara kubwa na kufanikiwa. Unakuta mtu Ana kiwanda au biashara kaajiri watu zaidi ya 300 na anamudu vizuri unajiuliza anawezaje ukisingatia hulka ya Mtanzania ni upigaji, utapeli na wizi ambayo ni genetics na imethibitika kabisa kisayansi.Biashara za siku hizi zinataka uwe na wakati wa kuiendesha wewe mwenyewe la sivyo utalia, huwa naona kidogo biashara ambayo inaweza kuwa na nafuu akikaa mtu mwingine ni kama guest house pamoja na car wash, japo sina uhakika sana
Visa vingi vya kurogana na kuuana siyo wivu tu bali upigaji, dhulma na usalitimimi mwaka 2012 nilinunua bodaboda nikaona hesabu ni mbaya. nikampa mtu aiuze. alipotea nayo na mpaka leo hatujawahi kuonana. nilipitia ugumu sana. mwishowe nilimkamata. alikuwa na hali mbaya sana kimaisha na hana uwezo wa kulipa chochote. Nikimsamehe maisha yakendelea.
Aisee mimi badoo🤣🤣Dogo wewe hujawahi kupigwa?
For sure wahindi hawatuamini kabisa katika biashara zao, ndio mana kuna mgahawa mmoja hivi upo mbezi, yaani wanagawana shift mtu na mke wake, na wao wanacheza na pesa tu, hakuna pesa mbongo anashika, cctv camera mpaka kwenye kibanda cha chipsi, yaaani ni hatari na nusu.......Mkuu mimi naheshimu sana watu Bongo wanaoendesha biashara kubwa na kufanikiwa. Unakuta mtu Ana kiwanda au biashara kaajiri watu zaidi ya 300 na anamudu vizuri unajiuliza anawezaje ukisingatia hulka ya Mtanzania ni upigaji, utapeli na wizi ambayo ni genetics na imethibitika kabisa kisayansi.
Kabla sijaja huku ulaya nilipiga kibarau kiwanda cha nondo kinamilikiwa na wahindi. Unajua wahindi walivyo wanabana na roho mbaya bado waliibiwa tu. Yani nondo zilikuwa zinarushwa juu ya uzio Tena nondo za kutosha. Ni nigger flani muaminifu aliwatonya mabosi. Kumbe deal lilihusisha hadi masupervisors waswahili yani Wanarusha nondo usiku kwenye fensi manigger wengine wanasubiri upande wa pili. Zoezi Hilo la wizi lilifanywa mwezi mmoja mfululizo. Ilibidi waongeze urefu wa fens.
Pia shoprite uchumi na nakumatt hawatawasahau watanzania. Yani wafanyakazi wanawaleta ndugu zao wanafanya shopping ya nguvu halafu wanapita kaunta bila kulipa. Kuja kushtuka ilishapita muda yani walipigwa Vijaya mno. Uongozi wa shoprite walishangaa sana kwasababu chain zao zingine zilizopo mataifa mengine ya Africa hawakushuhudia wizi kama huu halafu mshahara ukichelewa kidogo wanaandamana wanakuwawakalikama mbogo.
Upigaji bongo umeshahalalishwa kabisa it's now a genetic issue na tunarithiana.
Erythrocyte
Sasa kwenye usafiri private si ndio wanakuteka kirahisi!?Ukashindwa chukua uber? Duh...msukuma??
Daaah maisha yana ukatilia sanaKwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.
Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.
Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.
So, ni kawaida tu.
Watu wasilolijua ni kwamba biashara zinataka usimamazi wa mwenye maliMimi naogopa sana kufanya biashara ambayo mimi sio mtendaji.. waswahili wananiogopesha sana
Pole sana, hiyo ni hela nyingi kwakuwa uliitafuta kwa tabu sana. Lakini sio hela nyingi mpaka ikusababishe ukate tamaa. Mimi kama wewe niliwahi kudhulumiwa na dereva boda boda mpya kabisa muda huo ikuzwa kama 2.5m hivi. Alijidai ameibiwa, nilikuja kugundua sio kweli baada ya kumwambia kuwa hilo ni deni nakupa nyingine ili ulipe mbili. Akagoma, lakini sikukata tamaa. Niliamua kuboresha usimamizi wa biashara hiyo na nikaifanya vyema sana mpaka sasa, ingawa imeanza kunichosha ila imenipa faida nzuri tu.Wapendwa wanajf habari za usiku,
Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.
Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo nilijichanga katika kazi mbalimbali kama nyuzi zangu baadhi za nyuma zilivyoelezea mishemishe zangu ikiwemo shughuli za mchanga, tofali na tuition centre.
Kwa mwaka 2020 nilifanikiwa kukusanya kiasi cha shil milion 2 na laki 4 na niliamua hii pesa isikae benk tu kwavile bado naendelea kufight na mambo mengine basi niliamua kufanya biashara ya bodaboda.
Nilinunua bodaboda iliyokaribia kuisha kwa mkataba kwa tsh. 1.8M na kumkabidh mtu aendeshe kwa makubaliano tuliyoafikiana. Nilikuwa namfahamu lakini nilikua simjui sana kiundani na ndugu zake sana nilikuwa siwafahamu sana.
Nadiriki kusema nimeweza kupewa mrejesho wa siku 10 pekee na muda huu navyoongea zimepita takribani wiki 3 sijaweza kuonana wala kuwasiliana na dereva wangu, polisi nimeripoti kwa kufata taratibu lakini sioni matumaini ya kupata chombo changu, sijui mwenzangu ni mzima au ameaga dunia, nimejarbu kufatilia watu wake imeonyesha ni mhamiaji katika maeneo ya mkoa niliopo.
Nawaza sana, nimeweza kupoteza pesa niliyoitafuta kwa jasho sana ndani ya mwaka mmoja, nikiri sikuweza kulala kwa siku 2 mfululizo, Nimeamini hii dunia haina huruma.
Kuna muda nawaza ile hela bora ningeweka tu, kuna muda nawaza sana nikiona mtu anaongelea pesa tu nawaza zile pesa zangu, nimebaki na kiasi cha laki 5 kwenye akaunti yangu nawaza lini nitafika tena kwenye milioni mbili na laki 4.
Kuna muda huwa nawaza sana nikifikiria njia ngumu nilizoweza kupata hii pesa na njia rahisi ilivyoweza kupotea hii pesa, kuna muda niliona haya maisha hayana maana na kupitia huu mkasa i was so harsh, niliweza hadi kuseparate na mtu wangu, Ok ni hayo tu nimeona nishare nanyi wakubwa.
Muwe na usiku mwema.
Kuna mwanangu mmoja alitaka aingie huko kisa ina makusanyo ya makubwa kqa siku.Biashara ya chombo cha moto ni biashara ya risk kubwa. Sijui kwanini watu hawaelewagi hili somo.
Kuna watu huwa wanakuaga wapumbavu sana wakipata visenti kidogo huweukana kukosa uaminifu.Pole sanaa ndugu amini usiamini anaekuibaia anakuongezea utajiri, ngoja nikupe short yangu kidogo nipo kwa taasisi ya umma flani basi kuna kazi ikatokea ya kutengeneza madirisha ya ofisi ikatoka kama 2 mil kwaajili ya kazi hiyo. Sasa pale mtaani kuna mwana nilimzoea ana kijiwe chake ni fundi fundi mara nyingi alikuwa ananilalamikia kuhusu kazi basi nikaona nimuunganishe kama kawaida.
Ofisi yetu huwa ina tabia ya kukuamini mtumishi, unapewa hela yote kajingaike nayo nikamkumbuka jamaa nikamuunganisha jamaa akaomba hela robo tatu afuate material nikampa akafuata akarudi na material chache kazi ikaanza. Ebwanaee sujui alipatwa na nini jamaa kanikimbia bwanaee na madirisha sikupata msala ukawa wangu boss wangu haeliwi anataka pesa au madirisha mwaka sasa nimetoka kukopa kwa taasisi moja kwa riba chafu nimelipa madirisha yote jamaa mwaka hajaonekana na wala sijui yuko wapi ila process zote nilifuata mikataba na rb ninayo natembea nayo, Mungu si athumani ipo siku tutakutana kinachoniuma sio kuniibia bali kupotezewa credibility pale ofisini sipewi deal tena. Usikate tamaa hadi leo nalipa deni kwa hiyo taasisi. So usife moyo hatujakatwa mikono
Trust no one , suspect everyoneHaya ni mapito mkuu, muhimu uhai. Mwaka 2017 nilitapeliwa 10M Njombe, hapa nilidanganywa kwa ajili ya kilimo cha viazi lakini hela ikaliwa na sikupata chochote, na 2.2M na ndugu yangu wa karibu ambayo nilimtumia akanunulie shamba la miti lakini shamba sikupata mpaka muda huu naandika hapa.
Katika dunia ya sasa muamini Baba/Mama yako tu ndicho nilichofundishwa kupitia hii kadhia. Mungu ni mwema bado napambana mdogo mdogo na imebaki historia tu
Nimecheka hatari daaah maisha hayaKuna jirani yangu amepanda mhogo corona ya kwanza... i mean april last yr...huwez amini had nw anatoa vimihogo vyembambaaaaaaaaaaa...hahauaha its a year nw...anatukana balaa[emoji1787][emoji1787]! Alichukua mbegu mpya sua...bas anakaanga ananunua k vant wknd tunasindikiza majuto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Biashara ya boda boda ni biashara hatari sana kama hautakuwa maakini. Nina mfano hai. Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Sekondari alistaafu Utumishi wa Umma akaja akadanganywa na waendesha boda boda kuwa ili fedha zake ziongezeke kwa haraka basi anunue bodaboda ili aone mabadiliko kwenye maisha yake. Yule Mwalimu alinunua boda boda 40 na kila siku atakuwa anawasilishiwa Tshs.10,000 kwa kila boda boda kwa makubaliano na hivyo kwa siku atakuwa anapata Tshs.400,000 na kwa mwezi atakuwa anapata Tshs.12,000,000 Kwa mwezi. Huyu mwalimu alipata mawasilisho ya wiki moja tu na baadaye pikipiki zake zikaanza kupotea moja baada nyingine. Mara uharibifu mara madereva kukimbia na pikipiki. Inaonekana hakuweza kuchukua taarifa za madereva vizuri. Mpaka ninapoandika ushauri huu Mwalimu huyo hana hata pikipiki moja na mara nyingine kama vile anaongea peke yake. Nakushauri achana na biashara ya bodaboda labda mmiliki wewe ndiyo uwe dereva na siyo mtu mwingine.
Nimekupata mkuuPole s
Pole sana, hiyo ni hela nyingi kwakuwa uliitafuta kwa tabu sana. Lakini sio hela nyingi mpaka ikusababishe ukate tamaa. Mimi kama wewe niliwahi kudhulumiwa na dereva boda boda mpya kabisa muda huo ikuzwa kama 2.5m hivi. Alijidai ameibiwa, nilikuja kugundua sio kweli baada ya kumwambia kuwa hilo ni deni nakupa nyingine ili ulipe mbili. Akagoma, lakini sikukata tamaa. Niliamua kuboresha usimamizi wa biashara hiyo na nikaifanya vyema sana mpaka sasa, ingawa imeanza kunichosha ila imenipa faida nzuri tu.