Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

mimi mwaka 2012 nilinunua bodaboda nikaona hesabu ni mbaya. nikampa mtu aiuze. alipotea nayo na mpaka leo hatujawahi kuonana. nilipitia ugumu sana. mwishowe nilimkamata. alikuwa na hali mbaya sana kimaisha na hana uwezo wa kulipa chochote. Nikimsamehe maisha yakendelea.
 
Biashara za siku hizi zinataka uwe na wakati wa kuiendesha wewe mwenyewe la sivyo utalia, huwa naona kidogo biashara ambayo inaweza kuwa na nafuu akikaa mtu mwingine ni kama guest house pamoja na car wash, japo sina uhakika sana
Mkuu mimi naheshimu sana watu Bongo wanaoendesha biashara kubwa na kufanikiwa. Unakuta mtu Ana kiwanda au biashara kaajiri watu zaidi ya 300 na anamudu vizuri unajiuliza anawezaje ukisingatia hulka ya Mtanzania ni upigaji, utapeli na wizi ambayo ni genetics na imethibitika kabisa kisayansi.

Kabla sijaja huku ulaya nilipiga kibarau kiwanda cha nondo kinamilikiwa na wahindi. Unajua wahindi walivyo wanabana na roho mbaya bado waliibiwa tu. Yani nondo zilikuwa zinarushwa juu ya uzio Tena nondo za kutosha. Ni nigger flani muaminifu aliwatonya mabosi. Kumbe deal lilihusisha hadi masupervisors waswahili yani Wanarusha nondo usiku kwenye fensi manigger wengine wanasubiri upande wa pili. Zoezi Hilo la wizi lilifanywa mwezi mmoja mfululizo. Ilibidi waongeze urefu wa fens.

Pia shoprite uchumi na nakumatt hawatawasahau watanzania. Yani wafanyakazi wanawaleta ndugu zao wanafanya shopping ya nguvu halafu wanapita kaunta bila kulipa. Kuja kushtuka ilishapita muda yani walipigwa Vijaya mno. Uongozi wa shoprite walishangaa sana kwasababu chain zao zingine zilizopo mataifa mengine ya Africa hawakushuhudia wizi kama huu halafu mshahara ukichelewa kidogo wanaandamana wanakuwawakalikama mbogo.

Upigaji bongo umeshahalalishwa kabisa it's now a genetic issue na tunarithiana.

Erythrocyte
 
mimi mwaka 2012 nilinunua bodaboda nikaona hesabu ni mbaya. nikampa mtu aiuze. alipotea nayo na mpaka leo hatujawahi kuonana. nilipitia ugumu sana. mwishowe nilimkamata. alikuwa na hali mbaya sana kimaisha na hana uwezo wa kulipa chochote. Nikimsamehe maisha yakendelea.
Visa vingi vya kurogana na kuuana siyo wivu tu bali upigaji, dhulma na usaliti
 
Mkuu mimi naheshimu sana watu Bongo wanaoendesha biashara kubwa na kufanikiwa. Unakuta mtu Ana kiwanda au biashara kaajiri watu zaidi ya 300 na anamudu vizuri unajiuliza anawezaje ukisingatia hulka ya Mtanzania ni upigaji, utapeli na wizi ambayo ni genetics na imethibitika kabisa kisayansi.

Kabla sijaja huku ulaya nilipiga kibarau kiwanda cha nondo kinamilikiwa na wahindi. Unajua wahindi walivyo wanabana na roho mbaya bado waliibiwa tu. Yani nondo zilikuwa zinarushwa juu ya uzio Tena nondo za kutosha. Ni nigger flani muaminifu aliwatonya mabosi. Kumbe deal lilihusisha hadi masupervisors waswahili yani Wanarusha nondo usiku kwenye fensi manigger wengine wanasubiri upande wa pili. Zoezi Hilo la wizi lilifanywa mwezi mmoja mfululizo. Ilibidi waongeze urefu wa fens.

Pia shoprite uchumi na nakumatt hawatawasahau watanzania. Yani wafanyakazi wanawaleta ndugu zao wanafanya shopping ya nguvu halafu wanapita kaunta bila kulipa. Kuja kushtuka ilishapita muda yani walipigwa Vijaya mno. Uongozi wa shoprite walishangaa sana kwasababu chain zao zingine zilizopo mataifa mengine ya Africa hawakushuhudia wizi kama huu halafu mshahara ukichelewa kidogo wanaandamana wanakuwawakalikama mbogo.

Upigaji bongo umeshahalalishwa kabisa it's now a genetic issue na tunarithiana.

Erythrocyte
For sure wahindi hawatuamini kabisa katika biashara zao, ndio mana kuna mgahawa mmoja hivi upo mbezi, yaani wanagawana shift mtu na mke wake, na wao wanacheza na pesa tu, hakuna pesa mbongo anashika, cctv camera mpaka kwenye kibanda cha chipsi, yaaani ni hatari na nusu.......

Sijui mtu anaweza kuaminikaje, maana mpaka ndugu nao ni miyeyusho tuu hakuna cha maana
 
Pambana mkuu.
Niliacha kazi (kutokana na mateso ya kazi) Nia niajiajiri. Nikapata nyingine soon after. Kampuni closed after 6 months. Nikakusanya akiba zangu milioni 12 nipambane mtaani.

Hi pesa NILITAPELIWA na mtu niliyemuamini anishike mkono katika safari ya kupambana. Niliishiwa mpaka Kodi ya nyumba. Nikaenda kupanga chumba cha elfu 20 Kwa mwezi. Baba yangu aliniomba nirudi home vyumba vya kulala vipo lakini niligoma. Mimi ni first born, kuna madogo kibao Mimi ni icon Yao na ni role model.....wakiona nimerudisha mpira Kwa keeper watakata tamaa kabisa. Sikurudi.

From March mpaka Sept 30 nasaini mkataba wa kazi Kwa mshahara wa laki 880,000 PLUS transport allowance laki 2 kasoro hivi..... kwa mwezi gross. Sikuwa na namna, nilikubali alimradi niishi.

Sikwambii ni Kati ya mwaka gani na mwaka gani. Jua tu kuna times tunaanguka na tunainuka tena.
 
Nilipigwa na best yangu, urafiki ukaisha na pesa zikaenda.

Kipindi cha nyuma nilikuwa najiona mjaja kweli kweli😀 na ujanja ukaishia hapo.
 
Kwenye harakati za utafutaji kupoteza ni sehemu ya maisha.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza risk za kupoteza.

Mimi nilifanya kazi za usiku, nikakusanya zaidi ya 1M nikaenda kulima mihogo huku Kibiti. Haikurudi hata 100.

So, ni kawaida tu.
Daaah maisha yana ukatilia sana
 
Mimi naogopa sana kufanya biashara ambayo mimi sio mtendaji.. waswahili wananiogopesha sana
Watu wasilolijua ni kwamba biashara zinataka usimamazi wa mwenye mali

Hata siku moja hakuna mtu alietusua kwa biashara aliomkabidhi mtu

Angalia bakhresa na Gulam dewji wanachofanya

Walizifanya wao wenyewe wakasomesha watoto wao nje na sasa watoto wao wanakava kila kona ya biashara zao.

Coz wanajua ni zao wakifilisika leo watakula msoto mkai so wanafanya kwa weledi

We unaanza biashara ya milioni halafu unampa mtu ai run mtu mwenye humjui hauna uhusiano nae wowote wa kueleweka .

Mi nilikataa fanya hizo biashara .

Nimejikita kwenye uwekezaji

Siku nikiingia kwenye biashara maana yake niache ajira.

Nimetoka kwenye hii nimeenda I kisha nitarudi B

Tutafute maarifa ya uwekezaji kabla ya kurisk mtaji.

Halafu hapa ingekuwa ile biashara fulani humu ndani wafuata upepo wangeitusi vibaya ssna[emoji1787]

download.jpg
 
Pole s
Wapendwa wanajf habari za usiku,

Leo akili imetulia nimeona nitoe simulizi fupi ya jinsi nilivyoweza kupoteza tsh 1.8M.

Mara baada ya kugraduate pale SUA na (BSC GM) na kushindwa kupata tempo nilijichanga katika kazi mbalimbali kama nyuzi zangu baadhi za nyuma zilivyoelezea mishemishe zangu ikiwemo shughuli za mchanga, tofali na tuition centre.

Kwa mwaka 2020 nilifanikiwa kukusanya kiasi cha shil milion 2 na laki 4 na niliamua hii pesa isikae benk tu kwavile bado naendelea kufight na mambo mengine basi niliamua kufanya biashara ya bodaboda.

Nilinunua bodaboda iliyokaribia kuisha kwa mkataba kwa tsh. 1.8M na kumkabidh mtu aendeshe kwa makubaliano tuliyoafikiana. Nilikuwa namfahamu lakini nilikua simjui sana kiundani na ndugu zake sana nilikuwa siwafahamu sana.

Nadiriki kusema nimeweza kupewa mrejesho wa siku 10 pekee na muda huu navyoongea zimepita takribani wiki 3 sijaweza kuonana wala kuwasiliana na dereva wangu, polisi nimeripoti kwa kufata taratibu lakini sioni matumaini ya kupata chombo changu, sijui mwenzangu ni mzima au ameaga dunia, nimejarbu kufatilia watu wake imeonyesha ni mhamiaji katika maeneo ya mkoa niliopo.

Nawaza sana, nimeweza kupoteza pesa niliyoitafuta kwa jasho sana ndani ya mwaka mmoja, nikiri sikuweza kulala kwa siku 2 mfululizo, Nimeamini hii dunia haina huruma.

Kuna muda nawaza ile hela bora ningeweka tu, kuna muda nawaza sana nikiona mtu anaongelea pesa tu nawaza zile pesa zangu, nimebaki na kiasi cha laki 5 kwenye akaunti yangu nawaza lini nitafika tena kwenye milioni mbili na laki 4.

Kuna muda huwa nawaza sana nikifikiria njia ngumu nilizoweza kupata hii pesa na njia rahisi ilivyoweza kupotea hii pesa, kuna muda niliona haya maisha hayana maana na kupitia huu mkasa i was so harsh, niliweza hadi kuseparate na mtu wangu, Ok ni hayo tu nimeona nishare nanyi wakubwa.

Muwe na usiku mwema.
Pole sana, hiyo ni hela nyingi kwakuwa uliitafuta kwa tabu sana. Lakini sio hela nyingi mpaka ikusababishe ukate tamaa. Mimi kama wewe niliwahi kudhulumiwa na dereva boda boda mpya kabisa muda huo ikuzwa kama 2.5m hivi. Alijidai ameibiwa, nilikuja kugundua sio kweli baada ya kumwambia kuwa hilo ni deni nakupa nyingine ili ulipe mbili. Akagoma, lakini sikukata tamaa. Niliamua kuboresha usimamizi wa biashara hiyo na nikaifanya vyema sana mpaka sasa, ingawa imeanza kunichosha ila imenipa faida nzuri tu.
 
Biashara ya chombo cha moto ni biashara ya risk kubwa. Sijui kwanini watu hawaelewagi hili somo.
Kuna mwanangu mmoja alitaka aingie huko kisa ina makusanyo ya makubwa kqa siku.

Nikampiga stop nikampa darasa leo ananishukuru
 
Pole sanaa ndugu amini usiamini anaekuibaia anakuongezea utajiri, ngoja nikupe short yangu kidogo nipo kwa taasisi ya umma flani basi kuna kazi ikatokea ya kutengeneza madirisha ya ofisi ikatoka kama 2 mil kwaajili ya kazi hiyo. Sasa pale mtaani kuna mwana nilimzoea ana kijiwe chake ni fundi fundi mara nyingi alikuwa ananilalamikia kuhusu kazi basi nikaona nimuunganishe kama kawaida.

Ofisi yetu huwa ina tabia ya kukuamini mtumishi, unapewa hela yote kajingaike nayo nikamkumbuka jamaa nikamuunganisha jamaa akaomba hela robo tatu afuate material nikampa akafuata akarudi na material chache kazi ikaanza. Ebwanaee sujui alipatwa na nini jamaa kanikimbia bwanaee na madirisha sikupata msala ukawa wangu boss wangu haeliwi anataka pesa au madirisha mwaka sasa nimetoka kukopa kwa taasisi moja kwa riba chafu nimelipa madirisha yote jamaa mwaka hajaonekana na wala sijui yuko wapi ila process zote nilifuata mikataba na rb ninayo natembea nayo, Mungu si athumani ipo siku tutakutana kinachoniuma sio kuniibia bali kupotezewa credibility pale ofisini sipewi deal tena. Usikate tamaa hadi leo nalipa deni kwa hiyo taasisi. So usife moyo hatujakatwa mikono
Kuna watu huwa wanakuaga wapumbavu sana wakipata visenti kidogo huweukana kukosa uaminifu.
 
Haya ni mapito mkuu, muhimu uhai. Mwaka 2017 nilitapeliwa 10M Njombe, hapa nilidanganywa kwa ajili ya kilimo cha viazi lakini hela ikaliwa na sikupata chochote, na 2.2M na ndugu yangu wa karibu ambayo nilimtumia akanunulie shamba la miti lakini shamba sikupata mpaka muda huu naandika hapa.
Katika dunia ya sasa muamini Baba/Mama yako tu ndicho nilichofundishwa kupitia hii kadhia. Mungu ni mwema bado napambana mdogo mdogo na imebaki historia tu
Trust no one , suspect everyone
 
Mkuu Soma la risk ni muhimu sana japo kuna watu watasema huwezi fanikiwa pasipo jiripua
 
Kuna jirani yangu amepanda mhogo corona ya kwanza... i mean april last yr...huwez amini had nw anatoa vimihogo vyembambaaaaaaaaaaa...hahauaha its a year nw...anatukana balaa[emoji1787][emoji1787]! Alichukua mbegu mpya sua...bas anakaanga ananunua k vant wknd tunasindikiza majuto
Nimecheka hatari daaah maisha haya
 
Biashara ya boda boda ni biashara hatari sana kama hautakuwa maakini. Nina mfano hai. Kuna Mwalimu Mkuu mmoja wa Sekondari alistaafu Utumishi wa Umma akaja akadanganywa na waendesha boda boda kuwa ili fedha zake ziongezeke kwa haraka basi anunue bodaboda ili aone mabadiliko kwenye maisha yake. Yule Mwalimu alinunua boda boda 40 na kila siku atakuwa anawasilishiwa Tshs.10,000 kwa kila boda boda kwa makubaliano na hivyo kwa siku atakuwa anapata Tshs.400,000 na kwa mwezi atakuwa anapata Tshs.12,000,000 Kwa mwezi. Huyu mwalimu alipata mawasilisho ya wiki moja tu na baadaye pikipiki zake zikaanza kupotea moja baada nyingine. Mara uharibifu mara madereva kukimbia na pikipiki. Inaonekana hakuweza kuchukua taarifa za madereva vizuri. Mpaka ninapoandika ushauri huu Mwalimu huyo hana hata pikipiki moja na mara nyingine kama vile anaongea peke yake. Nakushauri achana na biashara ya bodaboda labda mmiliki wewe ndiyo uwe dereva na siyo mtu mwingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole s

Pole sana, hiyo ni hela nyingi kwakuwa uliitafuta kwa tabu sana. Lakini sio hela nyingi mpaka ikusababishe ukate tamaa. Mimi kama wewe niliwahi kudhulumiwa na dereva boda boda mpya kabisa muda huo ikuzwa kama 2.5m hivi. Alijidai ameibiwa, nilikuja kugundua sio kweli baada ya kumwambia kuwa hilo ni deni nakupa nyingine ili ulipe mbili. Akagoma, lakini sikukata tamaa. Niliamua kuboresha usimamizi wa biashara hiyo na nikaifanya vyema sana mpaka sasa, ingawa imeanza kunichosha ila imenipa faida nzuri tu.
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom