Matumaini yenu ya kuipiku Kenya yamekwisha tu hivo juu ya muingereza...poleni sana, kubalini tu your new number in EAC #3 ππππ kumbuka mkiwa #2 vile mlipiga kelele wa kuipiku Kenya ππHahahaha, Hahahaha, Ethiopia haina uwezo wa kuipiga Kenya.....Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
Waingereza wapo na kambi zao ndani ya Kenya watawasaidia...haaaaaaaaaaa.
This is whyπππHahahaha, Hahahaha, Hahahaha, I know why?
Sababu tunajitambua...si ulisema Kenya ni mabibi wa wazungu? Mbona hapa unajikanusha mwenyewe ama unasahau haraka Kama akili ya ngiri?Hii inathibitisha ule usemi wa watanzania kwamba wakenya mpo na akili ndogo sana na hamna kitu mnachojua zaidi ya kujifanya wajuaji.
Hizo states zote ulizozitaja hazikubaliki wala hazitambuliki na UN wala na Serikali ya Mogadishu, kinachosubiriwa ni kuimarika kwa serikali ya Mogadishu ili iweze kudhibiti nchi na usalama ili zirudi kuwa chini ya Somalia moja.
Marekani na nchi za Ulaya mwaka juzi zilitoa onyo kwa Kenya ilipoanzisha "Jubaland initiative", kwamba ni muendelezo wa kuigawanya Somalia na kwamba haikubaliki, ndio sababu kubwa ya nchi za Magharibi kushirikiana na Farmaajo katika kupinga Ombi la Kenya kutaka kundi la Alshabaab kuwekwa katika orodha ya magaidi.
Kenya mtaendelea kutengwa na jumuiya ya kimataifa kutokana na kiburi chenu cha kujifanya wajuaji na kutaka kila nchi iwasikilize ninyi.
huwa namwambia pesa hazina kabila wala feelings πNa wewe huwa unamjibu aje huyo dada wa kisomali
ha ha nitainamisha yeye soonTwanga hio kitu Vulcan. Hahaha.
Tafuna hiyo ngozi vizuri, itaacha hizo dharau, na atafunza kwao na uzao wake.huwa namwambia pesa hazina kabila wala feelings π
Si ndio shida yenyu nyinyi wakenya hadi kina mama zenyu huwaga wanaandamana bhana. [emoji12] [emoji13] [emoji1]Ni vile hajapata wa kumshikashika vizuri ndio maana bado ana madharau
They could but wako marginalised.Really? Lkn Rais wao is from oromos, thought they could chill aftr they got a leader from their ethnicity
Aise, poa, yetu macho/ masikio.They could but wako marginalised.