Hii inathibitisha ule usemi wa watanzania kwamba wakenya mpo na akili ndogo sana na hamna kitu mnachojua zaidi ya kujifanya wajuaji.
Hizo states zote ulizozitaja hazikubaliki wala hazitambuliki na UN wala na Serikali ya Mogadishu, kinachosubiriwa ni kuimarika kwa serikali ya Mogadishu ili iweze kudhibiti nchi na usalama ili zirudi kuwa chini ya Somalia moja.
Marekani na nchi za Ulaya mwaka juzi zilitoa onyo kwa Kenya ilipoanzisha "Jubaland initiative", kwamba ni muendelezo wa kuigawanya Somalia na kwamba haikubaliki, ndio sababu kubwa ya nchi za Magharibi kushirikiana na Farmaajo katika kupinga Ombi la Kenya kutaka kundi la Alshabaab kuwekwa katika orodha ya magaidi.
Kenya mtaendelea kutengwa na jumuiya ya kimataifa kutokana na kiburi chenu cha kujifanya wajuaji na kutaka kila nchi iwasikilize ninyi.