Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

Kwa hiyo mbona hii serikali ya ccm unaichagua kila siku wakati nayo ni ya kikafiri.
 
waryaaa hawana kosa hapo,hapo ni kama wameokota helikopta na watu wake ndani...cha kuokota si cha kuiba
 
Somalia siwezi kwenda hata kama ningekuwa mtumishi wa UN.wasomali hawaelewi somo ni vita tu.
Hata mm kabla sijafanya nao biashara nlijua hivo nimekuja kuishi nao ni waislamu safi na waaminifu wenye urafiki sana sio kama hawa waislamu wa magomeni wao hawabagui wakristo ila sasa wazingue uone
 
Somalia .....ni nyoko sana hawana la maana hapa duniani zaidi ya dini.....wanauana sanaa...hakuna la kupoteza
 
Acha kupotosha usome uislamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…