The unpaid Seller JF-Expert Member Joined Oct 27, 2019 Posts 2,113 Reaction score 6,251 Jan 13, 2024 #61 mgayamapesa said: mantiki ya haya makundi huwa sielewi, kikubwa huwa yanahitaji nini? Click to expand... makundi haya yanataka ati wote tuwe waislamu tuwe wafuasi wa "dini ya amani" kama wafuasi wa dini hii ya haki kama kimda FaizaFoxy Ritz Malaria 2
mgayamapesa said: mantiki ya haya makundi huwa sielewi, kikubwa huwa yanahitaji nini? Click to expand... makundi haya yanataka ati wote tuwe waislamu tuwe wafuasi wa "dini ya amani" kama wafuasi wa dini hii ya haki kama kimda FaizaFoxy Ritz Malaria 2
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Jan 13, 2024 #62 Imeloa said: Unawakana wakati wote mnampigania mungu wenu yule yule. Click to expand... Tunapigania wapi na Mungu yupi?
Imeloa said: Unawakana wakati wote mnampigania mungu wenu yule yule. Click to expand... Tunapigania wapi na Mungu yupi?
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 19,559 Reaction score 36,514 Jan 13, 2024 #63 The unpaid Seller said: makundi haya yanataka ati wote tuwe waislamu tuwe wafuasi wa "dini ya amani" kama wafuasi wa dini hii ya haki kama kimda FaizaFoxy Ritz Malaria 2 Click to expand... Makundi yapi yanayo taka wote muwe waislam Hayo ambayo yanaua watu ndani ya misikiti ama yapi?
The unpaid Seller said: makundi haya yanataka ati wote tuwe waislamu tuwe wafuasi wa "dini ya amani" kama wafuasi wa dini hii ya haki kama kimda FaizaFoxy Ritz Malaria 2 Click to expand... Makundi yapi yanayo taka wote muwe waislam Hayo ambayo yanaua watu ndani ya misikiti ama yapi?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jan 13, 2024 #64 Museveni alishatowa jibu na tulishaona Congo ndege za UN zinavyoiba: View: https://youtu.be/Tq3oA9vHcG4?si=6N17mXlFfTaFHZYb
Museveni alishatowa jibu na tulishaona Congo ndege za UN zinavyoiba: View: https://youtu.be/Tq3oA9vHcG4?si=6N17mXlFfTaFHZYb