Somalia ilivyoziokoa Tanzania na Uganda kutoka kwenye vita

Asante kwa kulifafanua hilo [emoji120][emoji120]
 
Ila mkuu lazima tukubali kuwa kama Nyerere asingewapa hifadhi kina M7 na wapinzani wa Amin huenda tusingeingia vitani na Uganda.
 
Ila mkuu lazima tukubali kuwa kama Nyerere asingewapa hifadhi kina M7 na wapinzani wa Amin huenda tusingeingia vitani na Uganda.

..Idi Amin alitaka kupigana vita na Kenya mwaka 1976.

..ukichaa wa Amin ndio uliosababisha vita vya 1978.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…