Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

Pale Horn of Africa kuvuka kuingia Yemen is just like Dar to Zanzibar. Houthi wajiandae kuingia EA.
Mambo ya ugaidi tena? Bora magaidi wetu wa humu jamii forum hawawezi kujilipua kwa kujitoa mhanga kuliko wa wale wa Somalia na Houthi.
 
Naogopa sana, hii ingesubirishwa kwanza maana uzombi wa dini ndio utatamalaki sasa.....
 
Back
Top Bottom