G G - The Apostle JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 599 Reaction score 1,125 Mar 5, 2024 #41 dudus said: Ethiopia nao waingizwe then Sudan, Djibouti, na Eritrea. Click to expand... Msumbiji , Malawi, zambia
dudus said: Ethiopia nao waingizwe then Sudan, Djibouti, na Eritrea. Click to expand... Msumbiji , Malawi, zambia
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Mar 6, 2024 #42 G - The Apostle said: Msumbiji , Malawi, zambia Click to expand... Hiyo itaitwa Jumuiya ya Africa Mashariki, kati, pembe ya Africa na Kusini mwa Africa.
G - The Apostle said: Msumbiji , Malawi, zambia Click to expand... Hiyo itaitwa Jumuiya ya Africa Mashariki, kati, pembe ya Africa na Kusini mwa Africa.
M Mwanamlya JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 2,763 Reaction score 4,386 Mar 6, 2024 #43 dudus said: Pale Horn of Africa kuvuka kuingia Yemen is just like Dar to Zanzibar. Houthi wajiandae kuingia EA. Click to expand... Mambo ya ugaidi tena? Bora magaidi wetu wa humu jamii forum hawawezi kujilipua kwa kujitoa mhanga kuliko wa wale wa Somalia na Houthi.
dudus said: Pale Horn of Africa kuvuka kuingia Yemen is just like Dar to Zanzibar. Houthi wajiandae kuingia EA. Click to expand... Mambo ya ugaidi tena? Bora magaidi wetu wa humu jamii forum hawawezi kujilipua kwa kujitoa mhanga kuliko wa wale wa Somalia na Houthi.
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Mar 6, 2024 #44 Naogopa sana, hii ingesubirishwa kwanza maana uzombi wa dini ndio utatamalaki sasa.....