Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
- Thread starter
- #41
Hahahaaa uliponea once.....ww Zanzibar umeenda kutalii tu. Tuulize ss tuliokaa hukoWaje wote tu, hata batoto Bakongo (DRC) wamekawia sana..
Krisimasi isiwe issue, binafsi nimesheherekea Krisimasi Zanzibar na hofu niliyokua nayo ya kumwagiwa tindi kali ikatokea kuwa ujinga wangu tu maana Wazenji ni watu wakarimu sana. Pia wao wameserebuka sana kwenye Krisimasi.
Wasomali ni watu wenye bidii sana, napenda wanavyojituma, haya masuala ya dini ndio yanawaangusha na kuwachelewesha. Yaani dini inafaa kuleta amani lakini inakua ndio chanzo cha mauaji na mateso.