Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mpaka wanafikia kupiga marufuku ina maana wapo waliokuwa wanasherekea.Ili uruhusu wanaotaka kusherehekea si ni lazima wawepo? Na kwa kusema kuruhusu umaanisha nini? Au unafikiri wakisema hawaruhusu Krismasi unafikri Mkristo akisherehekea nyumbani kwake atanyongwa? Ninyi ndo wagumu kuelewa, kwa kupiga marufuku maana yake ni kwamba Krismasi haitambuliki kama sikukuu ya Kitaifa nchini Somalia na sababu ni kwamba > 98% ya wakazi wa Somalia ni Waislamu, sasa ni kipi kigumu kuelewa hapo?
Hivi mbona haulalamikii Uchina kupiga marufuku Krismasi au Iddi? Lakini mbona kuna Wakristo na Waislamu wengi tu wanaishi na kufanya kazi Uchina? Vile vile Suadia au hata nchini Cuba Krismasi imepigwa marufuku lkn mbona kuna watu wanaishi huko Wakristo? Kuna Watanzania wamesoma Cuba mbona hawakunyongwa kwa kusherehekea Krismasi?
Au unafikiri kinyumenyume?