Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC

Hahahaaa uliponea once.....ww Zanzibar umeenda kutalii tu. Tuulize ss tuliokaa huko
 
Umenena vyema,wakati mwingine nina mashaka na kutokutulia kwa nchi za Africa,kiukweli wazungu hawapendi kutuona hata ktk uso wa hii dunia
 

Kaka wao ni 100% Waislam sasa wanampiga nani marufuku?,
 
Mkuu ukisia nchi yenye watu millioni 10, 100% ni waislam kwenye watu hao unaweza ukapata watu 1000, sio waislam ni wakiristu na wengine wageni (sio raia ), sasa basi mahala penye waumini wa kikiristu 1000, lazima hao waumini watakua na hamu ya kusherehekea siku Kuu za dini yao
 
Are mentally fit?? What African are you talking about somalia to lead ?? Utakuwa zwazwa wewe
 
Of course we will. Smuggling weapons is not our fashion.

Christian Club is not the case here buddy. The issue is RESPECT FOR BASIC HUMAN RIGHTS among member countries. Ndege wa aina moja, huruka pamoja. If Somalia is one religion country, then it is not our type. EAC is not only about business men!
 
So somali is case study ? thts funny..do you have human rights in UG? RW ? BU? ...Juba is worst...
we all know Somali was an active & very cooperative member internatiinal community.
what happened during wars and interference is not the wishes of majority of somali people...Now they are putting together their country. Kenya and Uganda have spent a lot to help . Their solders died too and suffered at home. All these sacrifices are not done with purposes...they need peaceful somali to exist withing EA....
Christmas holidays in somali is like telling kenya to make diwali a public holiday!
however there is some thing fishy about EA...
Khatoum was denied membership....while Juba was accepted...defunately religion was the reason...
 
Hvi Tanzania Hamna news ??

Kila saa kupost news za Kenya mbona???

Kaeni kwenu
 
True .....
I have seen scratch that I know More Somalis In my life Than Rwandans Tanzanians Ugandans and Burundis Combined ....

I lived in Shabaab Nakuru Somali HQ ....
 
[emoji108][emoji106][emoji115]this guy knows what he is saying!!
 
EAC should be an exclusive club where you are invited, you don't invite yourself then wait for approval... The moment we accepted S.Sudan without placing it in some kind of observer status EAC became a whore
EAC should Have been
All of Greater Eastern Africa

Sudan
Ssudan
Eritrea mpaka Drc Na malawi The larger we are The better my thoughts .....Kwanza DRC ikiingia na Sudan Baaas!!!
 
The larger EAC is the more EACans will Benefit when we get our shit together and become a federation .....Doesnt matter whether muslim or christians ...Hata USA kuna an approximately 748,000km2 of land That is Tribal land That is Kenya and Uganda combined .that is to say White people are not allowed into an Area equal to Kenya and Uganda in USA .....
 
Yaaaaas Kwanza Drc Ikiingia we will control Smartphone and Computer market worldwide Hata sisi Tuanze ku dictate To the west
 
Watch your facts well man. Kenya observes two Muslim holidays.
 
Acha kudanganya watu ulaya IPI unayoijua wewe,unadhani wote tuko Tanzania
 
Acha kudanganya watu ulaya IPI unayoijua wewe,unadhani wote tuko Tanzania


Uingereza yenyewe tayari Krismasi ilishawahi kupigwa marufuku soma vizuri kuhusu the Puritans rule in England, tarehe 25.Desemba ilipigwa marufuku kusherehekea Krismasi!
Taitzo Wazungu mnapenda kuwaiga lkn tatizo hamuwaelewi, someni sana ili mjikomboe!
 
OK, kwa nini wasipige marufuku Idd? Bado huoni tatizo? Kama 98% ni waislam wanaogopa nini kutoa uhuru wa kuabudu watu wake 2%? Umesema ulaya wanaipa kisogo. Je umewahi kusikia wakiipga marufuku au hata hiyo Idd? Think out of the box.

Hii maana yake ni kuwa Somalia bado haijastaarabika.
 

It's a simple political science view, a majority demographic influence and change policy, rules and geopolitics. This is the same case with other unions, they just don't admit any Tom and Dick, its the reason EU and NATO won't admit Ukraine and Turkey to their Union. Its the reason why USA won't admit a mojority colored Pueto Rico into their Federation. Every union does everything to maintain their culture and way of life.

Somali admission itiwe maji hadi pale EAC summit watakopoleta amani South Sudan vile walisema watatumia diplomacy na sanctions kuleta amani. Kuingiza Somalia ni kuongeza mzigo wa instability.

Kama hii ingekuwa mada ya kristmasi haungenipata kwa huu uzi.

Kuandika tutaandika. Hakuna aliyekulazimisha kusoma chochote hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…