Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC

Watu waelewe kuwa, suala la Somalia kupiga marufuku krismas ni dosari isiyosameheka kwenye jumuiya ambayo inajipambanua kuwa inawapa watu wake Uhuru wa kuabudu.
 


Labda wewe ndiyo haujastaarabika, kila kitu kipo wazi nimesema zaidi 98% ya Wasomali ni Waislamu, sasa kwa nini washerehekee Krismasi? Kama kuna hitaji la Wakristo nchini Somalia basi watakuwa hawana budi kuruhusu lkn hakuna hilo hitaji sasa washerehekee Krismasi kwa ajili ya nani? Mbona Ulaya hawasherehekei sikukuu za Kibudismu au Kihindu?
 
Ha ha ha...Kenyans bwana! So now you are tired of your friends to such an extent you are looking for someone to share them with?!

We have got enough of Somalis through Kenya, share the rest with Americans
 
OK kama 98% wanaogopa imact ya below 2% kiasi cha kutoa tamko la kupiga marufuku huoni hao wana shida kichwani?

Naamini wewe ni Mtanzania na unaelelewa kuwa kuwa nchini kwetu mbali ya Wakristo kuna watu wa imani mbalimbali wakiwemo wapagani.

Hivi unadhani baada ya uchaguzi katika awamu ya pili kwa nini Kikwete alilalamikia suala la udini? Je unadhani alilenga Wabudha? Bila shaka alilenga ama wakristo au waislam. Ni kwa kuwa alikuwa anaami kulikuwa na athari kuhusiana na matokeo ya uchaguzi kwamba yaliathiriwa na upande mmoja.

Sasa somalia tamko linalohusu wananchi chini ya 2% lina tija gani? Taifa kama hili huoni bado linahitaji kuangaliwa upya? Ulaya hawasherehekei ubudha au uhindi. Lakini pia hawajaupiga marufuku.
 
Una kichwa kizito kiasi unaharibu barabara zetu kila unaposafiri kwa basi.

Hakuna aliyesema Wasomali walazimishwe kusheherekea Xmass, bali wasiwazuie wanaotaka kusherekea na washerekee.

Hata hawa Wakenya ni kale tu kauroho ka kupata fursa ya kuuza Blue Band Mogadishu, lkn they know for sure kuwa huto tudemu twa Kikikuyu tunakopenda kwenda manjiani half naked hatuwezi kwenda sawa na Wasomali.
 


Kwani wewe neno kupiga marufuku unalielewa vipi?
 

It's far better to invite Malawi, DRC, Zambia, Zimbabwe and Mozambique to join the East African Community than allowing Somalia. Few Somalis who were granted citizenship and currently are stationed in Tanga region have caused havoc in this area, several innocent indigenous citizens have been massacred by these immigrants. However our galant forces did their job commendably.
 


Ili uruhusu wanaotaka kusherehekea si ni lazima wawepo? Na kwa kusema kuruhusu umaanisha nini? Au unafikiri wakisema hawaruhusu Krismasi unafikri Mkristo akisherehekea nyumbani kwake atanyongwa? Ninyi ndo wagumu kuelewa, kwa kupiga marufuku maana yake ni kwamba Krismasi haitambuliki kama sikukuu ya Kitaifa nchini Somalia na sababu ni kwamba > 98% ya wakazi wa Somalia ni Waislamu, sasa ni kipi kigumu kuelewa hapo?

Hivi mbona haulalamikii Uchina kupiga marufuku Krismasi au Iddi? Lakini mbona kuna Wakristo na Waislamu wengi tu wanaishi na kufanya kazi Uchina? Vile vile Suadia au hata nchini Cuba Krismasi imepigwa marufuku lkn mbona kuna watu wanaishi huko Wakristo? Kuna Watanzania wamesoma Cuba mbona hawakunyongwa kwa kusherehekea Krismasi?
 

Zanzibar 98% are Muslims, kama ilivyo Somalia, mbona Zanzibar hawajapiga marufuku sherehe za dini yeyote hata za kipagani? Comoro 99% are Muslims, mbona husikie kelele kama za Somalia? achana na Somalia mpaka hicho kizazi cha siasa kali kifutike.
 
Zanzibar 98% are Muslims, kama ilivyo Somalia, mbona Zanzibar hawajapiga marufuku sherehe za dini yeyote hata za kipagani? Comoro 99% are Muslims, mbona husikie kelele kama za Somalia? achana na Somalia mpaka hicho kizazi cha siasa kali kifutike.


Hakuna nchi inayoitwa Zanzibar Dunia hii, kuhusu Komoro sijui huo ni uamuzi wao, lkn Cuba wamepiga marufuku Krismasi, Uchina, Saudi pi Krisamsi ni marufuku mbona watu wa Dini nyingine wanaishi na kufanya kazi huko? Kwanza hata nchi ya Uingereza ambayo ndiyo moja kati ya walioleta Krismasi Afrika ilishawahi kupiga marufuku Krismasi mbona hilo huliongelei nakusema wana siasa kali?
 
Muanzisha mada kunakitu unajaribu kukisema ila unashindwa..we nenda DIRECT KWNY POINT YAKO..
 
Unapiga marufuku kwa kuwa umeweka imakini juu ya jambo Fulani. Kama unaona jambo hilo ni threat kwako au jamii inayokuzinguka.


Kupiga marufuku ni kutokuruhusu jambo fulani kufanyika basi ni rahisi kihivyo tu, hivyo kama Krismasi haisherehekewi Kitaifa nchini Somali ina maana imepigwa marufuku sujui ni kipi kigumu kuelewa hapo!
 
Barbarosa na ujue zaidi ya 80% ya afrika mashariki ni wakristo. How are they going to freely move to somalia and interact kama hawaruhusiwi kabisa kuobserve sikukuu zao?
 
Mkuu hapa nimekuna kichwa kweli, nimeiona point yako. Nakubaliana na wewe kabisa. Inaonekana Strategically Somali ipo pazuri, halafu ni kweli hawa jamaa wanajituma si mchezo. Ndio maana wazungu hawataki itulie Somalia.
 
this is stupid..what does religion or holidays have to do with trading blocs? the most notable obstacles that Somalia faces is not that it is a Muslim nation and therefore cannot celebrate Christmas but the issue of stability and security.
 
Kupiga marufuku ni kutokuruhusu jambo fulani kufanyika basi ni rahisi kihivyo tu, hivyo kama Krismasi haisherehekewi Kitaifa nchini Somali ina maana imepigwa marufuku sujui ni kipi kigumu kuelewa hapo!
Don't fool yourself Mamarosa! Diwali haisherekewi kitaifa Tanzania, lkn serikali ya Tanzania haijawapiga marufuku Wahindi kusheherekea Diwali.

Unajitoa fahamu kwa faida ya nani?
 

Ukisikia Marekani wanawakaribisha Somalia mezani, kuna mawili:
1. Usalama wa Marekani
2. Biashara ya silaha

Tayari umeanza kwa kuwaonya juu ya miraa, ina maana umeshaanza kuelewa kuwa kuna mambo ya kijamii tunapishsna. Basi usidhani yanaishia hapo: kule kwao kuna utaratibu wa mtu kucharazwa bakora kisa, nguo yake.

Nayajua yaliyo mioyoni mwenu, yanawafanya mpk mnasahau kwamba ktk hali yeyote unatakiwa uweke mbele utaifa wako kwanza.

Nani so far keshawahi kufaidika na nini stika Somalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…