Somalia, nchi inayopiga marufuku kusherehekea Krismas, yapanga kuomba kuingia EAC

Mpaka wanafikia kupiga marufuku ina maana wapo waliokuwa wanasherekea.

Au unafikiri kinyumenyume?
 
Hahahaaa uliponea once.....ww Zanzibar umeenda kutalii tu. Tuulize ss tuliokaa huko

Niliyoyaona pale yalinishangaza sana, sikutegemea Zanzibar wamepinda kiasi hicho maana nilikua nimesoma taarifa jinsi wao humwagia watu tindi kali.
Nilikatiza maeneo yote ya burudani ikiwemo Bwawani, Ngalawa, CCM n.k. Nilishangaa kuona kuna hadi mashoga na wasagaji wanajianika balaa, kwanza kule wanakoita shamba. Halafu mnyama analiwa tu bila siri.

Anyway zaidi ya yote tulikaribishwa vizuri sana maana tulikua kundi. Tuliserebuka na kujiachia usiku wote. DJ walikua wanacheza nyimbo tunazochagua, nyimbo za Kenya na hata za Kibongo, kwanza wimbo wa Darasa ulinoga sana. Ilikua raha pale DJ anasema 'recognizing Kenyans and Ugandans in the house'..... yaani akisema hilo tu beer zinawaendea madj hadi wanakoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…