Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
 
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja

ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE……..

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Unajua mkuu nikiiwazaga hii nchi huwa nakosa pozi kabisa. Amekosekana mtu au influential people wanaoshindwa kuwaonganisha wasomali wote? Najua kabisa wapo wenye uwo uwezo na wametulia tu nchi jirani na ulaya wakiangalia ndugu zao wanavyouana na kushindwa kuelewana🤔🤔
 
Back
Top Bottom