Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Bora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.

Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Thaman ya shilingi inakua regulated !!

Na haimaanishi uchumi mkubwa!!

British paund GBP ni kubwa kuliko US dollar
lakini uchumi wa marekani n mkubwa kuliko Wa UK
au kwa maana nyingine

Franc ni kubwa kuliko hela ya china Yuan lakini China inauchumi mkubwa kuliko ufaransa!!

Hapa ni mambo ya regulation tu na jinsi ambavyo nchi ina ifix hela yake
Ingawa kuna other factor pia
 
kati ya Somali na Tanzania nani ana uchumi mkubwa?
 
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja

ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE……..

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Madrasa
 
kati ya Somali na Tanzania nani ana uchumi mkubwa?
Mkuu kuifananisha tanzania na somali kiuchumi ni kutukana tusi lisilosameheka
Angalia hapa
 
Attachments

  • 434AD803-32E9-482F-837E-6F2540BE7620.jpeg
    434AD803-32E9-482F-837E-6F2540BE7620.jpeg
    67.8 KB · Views: 5
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja

ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE……..

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Somalia wana vita za ukoo, ambazo zote ziko kwenye mbio za kuwania madaraka. Hao mabwana vita, ni wa koo tofauti zinazochuana.

Yote kwa yote, hali ya kukosa mkuu wa nchi kwa muda fulani, kama msipokuwa makini huleta hii tabu inayodumu muda mrefu.

Maana hawa tangu alipouawa Siyad Barre ndipo walipovurugana na kukosa serikali kwa muda wa zaidi ya miaka 30.

Ova
 
Usilo jua kuhusu somaria ni KOO ZAO ndio changamoto kwa taifa lao.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Bora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.

Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Wewe ulisomea uchumi hadi kiwango gani???
Thamani ya hela siyo kigezo cha ukubwa wa uchumi wa nchi husika na siyo kipimo cha utajiri wa nchi husika. Kuna kitu kinaitwa absolute advantage na comparative advantage. Thamani yetu imeshuka kwa sababu tuna shughuili nyingi za ujenzi wa miundombinu hivyo tunaagiza vitu vingi zaidi vya thamani kubwa kuliko tunavyouza nje. Siku miundombinu mikubwa ya reli, viwanja vya nje, bandara na barabara za kimkakati zikikamilika sarafu itaimarika. Sarafu ikiwa na thamani ndo importation inakuwa cheper.

hivyo sarafu yetu kuwa na thamani ndogo haimaanishi basi uchumi ni mbovu kuliko wa Somalia
 
Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama

1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana

2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)

3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US

LAKINI KWA SOMALIA
  • Watu wana dini moja
  • Kabila moja
  • Nchi moja
  • Tamaduni moja

ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.

Wasomali wanajichukia WENYEWE……..

Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Wamarekani ni washenzi sana; Somalia waliishi kwa amani sana wakishikamana katika kamba ya Mwenyezi Mungu kabla wamarekani hawajaenda kuwatibua! Tangu hapo nchi ile isiyojua dini nyingine ikavurugwa kabisa na makafiri wa kimagharibi.
 
Back
Top Bottom