dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Italy ndiye mkoloni wao; Fiat made in Italy. Connect!Wazee wa shuma mtupu(FIAT)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy ndiye mkoloni wao; Fiat made in Italy. Connect!Wazee wa shuma mtupu(FIAT)
Kama Wakuria walivyokuwa wanatwangana kikoo.Shida Yao ni koi zao
Kila mmoja anajiona mbabe
Hili nalo neno mkuuBora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.
Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Na sasa ni mwanachama wa EAC kwa ushawishi wa Kenya na umoja wa Wasomali waishio Tanganyika.Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
Wasomali wanajichukia WENYEWE……..
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Somalia ni UKABILA PEKEE ndio unawamaliza.Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
Wasomali wanajichukia WENYEWE
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Ila kuna Haiti mkuu unaizungumziaje!??Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
Wasomali wanajichukia WENYEWE
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Hata sarafu ya Korea inazidiwa thamani na shilingi ya Kenya ila Korea ni taifa la ulimwengu wa kwanza.Bora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.
Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Dini wala sio sababu.Dini ndiyo laana yao, wakiachana nayo tu, watakuwa shwari
Japo rais wa Somalia alidai kuwa sababu kuu ya kujiunga EAC ni Tanzania.Na sasa ni mwanachama wa EAC kwa ushawishi wa Kenya na umoja wa Wasomali waishio Tanganyika.
Kiswahili Cha Arusha hicho, amen maanisha msomali wake ni mzuri halafu ngozi soft pia sio mgumu kwenye kutoa ushirikiano wa ngono. 😃😃😃😃laini moja ndio nini
Alshabaab wanapigana kısa nini?!Hawapigani kisa dini wanapigana kisa koo
Mkuu alishababu wanapigana kisa dini wakat nchi nzima ni waislam!!Alshabaab wanapigana kısa nini?!
mbona hujaenda hukoWastaarabu sana wale jamaa ni vile dunia inawachukulia tofauti
heee kwaiyo maji mara mojaKiswahili Cha Arusha hicho, amen maanisha msomali wake ni mzuri halafu ngozi soft pia sio mgumu kwenye kutoa ushirikiano wa ngono. 😃😃😃😃
nieleweshe Tanzanoa imemshawishi kujiunga na EAC ??Japo rais wa Somalia alidai kuwa sababu kuu ya kujiunga EAC ni Tanzania.
Hivyo mtegemee kubeba mzigo wa wasomali.
Maana watakuja kuomba vingi😂😂😂😂.
Na washaanza kuja miezi miwili iliopita walileta convoy yao kwaajili ya masuala ya kijeshi.
sikujua kama djiboouti ilikua sehemu ya ethiopia!!Dini wala sio sababu.
Sababu ni UKABILA,hata hiyo Ethiopia ilikua kubwa Djibouti na Eritrea ikiwa ndani yake,ila ukabila ukasababisha Djibouti iundwe na Eritrea iundwe.
Na mpaka sasa Ethiopia ina mapigano ya ndani,je nayo ni dini!?
Kiufupi jamii ya kisomali yote kuanzia Somalia hadi Djibouti ukabila unawamaliza.
Wasomali wote ni kabila mojaSomalia ni UKABILA PEKEE ndio unawamaliza.
Hata hao alshabaab hawajakaa kwa mlengwa wa dini bali mlengwa wa kikabila kwaajili ya kugombania madaraka.
Wakiacha ukabila wataendelea sana.
Ukabila ndio chanzo cha Somalia kukatika na kutokea na Somaliland yenye capital city Hargeisa.
Na Somaliland imeendelea vibaya mno kiuchumi na kijamii.
Kama Somaliland wanaweza na wameweza kuacha ukabila na kuendelea basi Somalia inapaswa ifuate.View attachment 3056887
Uhasama wa kikoo unawasumbua...Unajua mkuu nikiiwazaga hii nchi huwa nakosa pozi kabisa. Amekosekana mtu au influential people wanaoshindwa kuwaonganisha wasomali wote? Najua kabisa wapo wenye uwo uwezo na wametulia tu nchi jirani na ulaya wakiangalia ndugu zao wanavyouana na kushindwa kuelewana🤔🤔