Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Wanalaana wasomali woteShida Yao ni koi zao
Kila mmoja anajiona mbabe
laini moja ndio niniNina demu wakisomali ni laini moja
🤝Sawa sawa
Yaani ni voda tyuu Tigo hatumii kabisalaini moja ndio nini
mmmh aiseeYaani ni voda tyuu Tigo hatumii kabisa
ndioKumbe!?
Diarra hachezi kiungolaini moja ndio nini
Unajua mkuu nikiiwazaga hii nchi huwa nakosa pozi kabisa. Amekosekana mtu au influential people wanaoshindwa kuwaonganisha wasomali wote? Najua kabisa wapo wenye uwo uwezo na wametulia tu nchi jirani na ulaya wakiangalia ndugu zao wanavyouana na kushindwa kuelewana🤔🤔Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama
1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana
2.Dini (vita ya kidini kati ya waislam na dini zingine kama Ukristu, uhindu na uyahudi)
3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US
LAKINI KWA SOMALIA
- Watu wana dini moja
- Kabila moja
- Nchi moja
- Tamaduni moja
ITOSHE KUSEMA WASOMALI HAWACHUKII WATU WENGINE KAMA WABANTU NA WENGINEO.
Wasomali wanajichukia WENYEWE……..
Ukiwakuta kenya wanavopiga kelele sasa😂😂
Wamasai ni jamiii nyingineNa wale wasomali wamasai mbona wapole sana pale namanga na makuyun mbona awapgan