Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

Bora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.

Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Hili nalo neno mkuu
 
Na sasa ni mwanachama wa EAC kwa ushawishi wa Kenya na umoja wa Wasomali waishio Tanganyika.
 
Somalia ni UKABILA PEKEE ndio unawamaliza.
Hata hao alshabaab hawajakaa kwa mlengwa wa dini bali mlengwa wa kikabila kwaajili ya kugombania madaraka.
Wakiacha ukabila wataendelea sana.
Ukabila ndio chanzo cha Somalia kukatika na kutokea na Somaliland yenye capital city Hargeisa.
Na Somaliland imeendelea vibaya mno kiuchumi na kijamii.
Kama Somaliland wanaweza na wameweza kuacha ukabila na kuendelea basi Somalia inapaswa ifuate.
 
Ila kuna Haiti mkuu unaizungumziaje!??
 
Bora hiyo Somalia ngoja nikuoneshe kichekesho.

Tanzania ndio nchi pekee yenye rasilimali na amani alafu shilingi yake inazidiwa thamani na shilingi ya Somalia ''The failed State''
Hata sarafu ya Korea inazidiwa thamani na shilingi ya Kenya ila Korea ni taifa la ulimwengu wa kwanza.
Je hilo unalizungumziaje!??
 
Dini ndiyo laana yao, wakiachana nayo tu, watakuwa shwari
Dini wala sio sababu.
Sababu ni UKABILA,hata hiyo Ethiopia ilikua kubwa Djibouti na Eritrea ikiwa ndani yake,ila ukabila ukasababisha Djibouti iundwe na Eritrea iundwe.
Na mpaka sasa Ethiopia ina mapigano ya ndani,je nayo ni dini!?
Kiufupi jamii ya kisomali yote kuanzia Somalia hadi Djibouti ukabila unawamaliza.
 
Na sasa ni mwanachama wa EAC kwa ushawishi wa Kenya na umoja wa Wasomali waishio Tanganyika.
Japo rais wa Somalia alidai kuwa sababu kuu ya kujiunga EAC ni Tanzania.
Hivyo mtegemee kubeba mzigo wa wasomali.
Maana watakuja kuomba vingi😂😂😂😂.
Na washaanza kuja miezi miwili iliopita walileta convoy yao kwaajili ya masuala ya kijeshi.
 
nieleweshe Tanzanoa imemshawishi kujiunga na EAC ??
 
sikujua kama djiboouti ilikua sehemu ya ethiopia!!
ebu nikasome
 
Wasomali wote ni kabila moja
 
Uhasama wa kikoo unawasumbua...

Bado tena Alshabaabu wameingia humo humo yaani ni balaa tupu, japo Somalia Ina wasomi wakubwa Sana na wafanyabiashara wakubwa mno ambao wakipewa nafasi wana mchango mzuri kuijenga nchi yao.
 
Tena nchi nzima ni dini Moja ya mnyasanzi, ya amani yenye kitabu kimoja ambacho huitaji kusoma linguine. Ukikimsliza unakuwa Mwalimu, daktari( wa kisuna) nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…