Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika.

Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia.

Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina hiyo hasa baada ya Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud kutangaza vita dhidi ya kikundi hicho.

------------ -------

Somalia car bombs: Family of nine killed in Hiraan attack

A family of nine have died in a double car bombing in central Hiraan province, Somalia, an eyewitness has told the BBC.

A further 26 people were also killed, the local deputy policy commissioner told the Reuters news agency.

The al-Qaeda linked group al-Shabab has said it was behind the attack.

The district commissioner of Mahas town said his home and that of a local MP were the targets.

Meanwhile the second explosion targeted the market, the mayor of Mahas, Mumin Mohamed Halane, told the BBC.

The blasts were so powerful that witnesses said people far away from the explosion sites were wounded by flying fragments.

"This was a horrible attack," witness Adan Hassan told the AFP news agency, describing the dead bodies he saw.

Al-Shabab has been losing ground in recent months after President Hassan Sheikh Mohamud pledged "total war" against the Islamist militants in August, following an attack on a popular Mogadishu hotel, which saw more than 20 people die.

Two months later, twin car bomb explosions near a busy junction in Mogadishu killed at least 100 people. Al-Shabab also said it was behind that attack.

President Mohamud subsequently mobilised the Somali army and government-backed clan militias in a bid to take villages and towns from al-Shabab, which controls large swathes of the country.

Despite their losses of territory, al-Shabab has continued to carry out attacks in central and southern Somalia.

Both African Union forces and US funds have been allocated to assist Somalia in its fight against al-Shabab.

Source: BBC
 
... wanasema saga la Somalia sio la kidini bali ni matatizo ya kiukoo; MK254?
hata mimi nimeona documentary moja ilikuwa inaelezea hivyo, huo ugomvi wa kiukoo (clans) umekuwepo tangu enzi hata kabla hiyo alshabaab haijaundwa. Sasa hivi imekuwa kama kisingizio tu kwani kama ni dini mbona wote wako dini moja.
 
... wanasema saga la Somalia sio la kidini bali ni matatizo ya kiukoo; MK254?

Mwanzo ilikua vita baina ya koo, wakaja hawa mashabaabi waliojiweka kama askari wa kidini na kuharibu zaidi.
 
hata mimi nimeona documentary moja ilikuwa inaelezea hivyo, huo ugomvi wa kiukoo (clans) umekuwepo tangu enzi hata kabla hiyo alshabaab haijaundwa. Sasa hivi imekuwa kama kisingizio tu kwani kama ni dini mbona wote wako dini moja.
MK254 kafafanua hapo juu. Unasemaje?
 
MK254 kafafanua hapo juu. Unasemaje?
Kama ni dini kuna sababu gani maana wote ni dini moja na nina imani pia ni madhehebu moja (sunni).

Siku hizi imekuwa fasheni kuwa vijana wote wa kiislamu hata kama wanapigana kwa vita inahusu vitu vingine basi wao itakuwa ni alshabab au alqaeda.

Vishu Mtata hao visasi vyao vinakwenda kwa generations hata zifike tano au sita. Ndiyo mana kila koo vijana wanakuwa wanatembea na bunduki mukizinguana tu munakipiga.
 
Dunia haijataka tu, hivi vikundi vya kigaidi ni shughuli ya mda mfupi sana kuviteketeza.
 
Hawa jamaa ni wapumbavu wa akili na haieleweki kwanini wanasababisha vifo kwa watu wasio na hatia, kama wanataka vita si wakapigane na wanajeshi?.
 
Back
Top Bottom