Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Inasikitisha sana.Hawa jamaa ni wapumbavu wa akili na haieleweki kwanini wanasababisha vifo kwa watu wasio na hatia, kama wanataka vita si wakapigane na wanajeshi?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana.Hawa jamaa ni wapumbavu wa akili na haieleweki kwanini wanasababisha vifo kwa watu wasio na hatia, kama wanataka vita si wakapigane na wanajeshi?.
Kesho utamshangaa mtu kama MK254 anaigeuza hii ni hoja ya kuudhalilisha uislamu na waislamu.Inasikitisha sana.
Hiyo dini mliingia mkenge wa mwarabu, Somalia maugomvi ya kiukoo yamehamia kwenye dini sasa, hamna sehemu huwa mnaishi kwa amani, tatizo elimu, kuna uzi huku nasoma comments na kucheka tu Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?Kesho utamshangaa mtu kama MK254 anaigeuza hii ni hoja ya kuudhalilisha uislamu na waislamu.