Somalia yaanza Kuwafukuza Waethiopia

Somalia yaanza Kuwafukuza Waethiopia

Hao somali wamekua wakipigana wenyewe kwa wenyewe, kabla hapo walikua vitani na Ethiopia karibu miaka kumi, pia walishawai kutaka kupigana na Kenya wakati ule wa shifta war......... Ile siku somalia itaungana na kua nchi moja, ntutarajie watatafuta adui wa nje kupigana naye manake historically tangu early 19th centrury hakuna muda hawakua vitani na adui tofauti kila baada ya miaka kumi
Ndio maana Somaliland imechukua uamuzi wa kurudisha Nchi yake.
 
Raia Serikali Alshababu viongozi wa Dini hakuna hata mmoja anaweza kumwambia mwenzake... "tunachofanya sio! hawa ni majirani"..wote wanashangilia Somalia ni majanga.
 
Back
Top Bottom