imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
- Thread starter
- #21
Ndio maana Somaliland imechukua uamuzi wa kurudisha Nchi yake.Hao somali wamekua wakipigana wenyewe kwa wenyewe, kabla hapo walikua vitani na Ethiopia karibu miaka kumi, pia walishawai kutaka kupigana na Kenya wakati ule wa shifta war......... Ile siku somalia itaungana na kua nchi moja, ntutarajie watatafuta adui wa nje kupigana naye manake historically tangu early 19th centrury hakuna muda hawakua vitani na adui tofauti kila baada ya miaka kumi