Somalia yawafukuza wanadiplomasia wote wa Kenya, yafunga ubalozi wake nchini Kenya

Hivi kenya ni jirani yake gani hajakwaruzana naye, Uganda mgogoro wa migingo, Ethiopia juzijuzi tu, Somalia, Tanzania hiyo nchi imejaa mijitu mikorofi sana
 
Nchi yao tu imewashinda ndio watakuja weza ya wengine, huu ni uandishi wa kinafiki sana..
Kwanza wasomali wanaoishi kenya hata hawatamani kurudi somali zaidi huwaza kwenda mambele, we unaleta ngano zako hapa..

Wasomali wanaoishi kenya unawajulia wapi life style yao zaidi ya kuwajulia tu vijiweni
Mkae na wa Somali vizuri sababu ndio walioshika nchi yenu, wa Somali ndio landlords wakubwa ambao wakiamua kuwatimua wakenya kwenye majumba yao nusu yenu mtalalia ngumi
 
Hii kitu atakayekwenda kuomba poo mambo yakiumana ni Somalia wenyewe.
 
Mkae na wa Somali vizuri sababu ndio walioshika nchi yenu, wa Somali ndio landlords wakubwa ambao wakiamua kuwatimua wakenya kwenye majumba yao nusu yenu mtalalia ngumi
Yani jamaa ambao hawajui kitu huaga wana mdomo sana[emoji1787][emoji1787]
Wasomali watele hapa mjini wamekodi katika maghorofa ya wakenya, labda useme wao hawajivungi sana km wana hela..hta appartment ya ksh30k anaishi
 
Wakeny inabd mtwangwe maan Kila sehemu mnajarbu
Kuwen na Diplomatic njema na majiran
 
Within a few number of days, Uhuru Kenyatta has met a number of prominent leaders from other countries.
Kenya is a power house in this region and that's an undisputable fact.
 
Kwahiyo Amin alivyovamia ulitaka tukae kimya?, sisi sio Kenya, jeshi letu linaogopewa Africa nzima, ukitujaribu tunakutoa, uliza Idd Amin, M23 na Magaidi wa Msumbiji.

Sisi tunaishi vizuri na majirani zetu wote, tumepakana na nchi 8 lakini ni Kenya tu ndio hatuelewani nao, ninyi mnagombana na Somalia, Tanzania, Uganda, South Sudan na Ethiopia. Jirekebisheni.
Jwtz ilishaingia kuwatoa hao magaidi ?
wamefikia hatua gan ?
 
Screenshot_2020-12-15-16-23-26-520_com.facebook.katana.jpg
 
Kenya imejaza Wasomali wengi huko kuzidi wakenya wenyewe. Wajiangalie sana. Halafu wajiandae kwa serious terror attacks. Mark my words.
 
Nchi yao tu imewashinda ndio watakuja weza ya wengine, huu ni uandishi wa kinafiki sana..
Kwanza wasomali wanaoishi kenya hata hawatamani kurudi somali zaidi huwaza kwenda mambele, we unaleta ngano zako hapa..

Wasomali wanaoishi kenya unawajulia wapi life style yao zaidi ya kuwajulia tu vijiweni
Usizani kila unae mreply haapa JF ni ana akili sawa na za kwako izo ambazo zimefungiwa hazifikiri nje ya box,
 
Imekugusa kunako sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Somalia wataipindua kenya na kuiendesha kw amani kushinda nchi yyte ile kuwahi tokea..
"Uneskia raha sasa genius"
 
Utakapo maliza ukajisaidiw then ukalale
 
Al shabab ni serikali? Nyie mlipoenda kutwangana na M13 huko Congo mlienda kutwangana na serikali ya DRC?
Kwani mlipoenda Somalia kulikua na serikali?, Alshabaab ndio iliyokua na Serikali huko Somalia[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe kwa akili yako kati ya Idd Amin na Alshabaab kuna tofauti?
 
Jwtz ilishaingia kuwatoa hao magaidi ?
wamefikia hatua gan ?
Mbona shughuli ilimalizika ndani ya wiki 2 tu baada ya JWTZ kuingia Msumbiji kufuatia tukio la magaidi kuingia Tanzania na kuua watanzania mwezi juzi, sasa hivi kilichobaki ni kuwatafuta wachache waliotawanyika maporini kujificha.

Taarifa za kuaminika zinasema kwamba, miili ya magaidi mingi inaendelea kugunduliwa misituni ikiwa hawana silaha, dalili zinaonyesha kwamba wengi wamekufa kwa njaa baada ya kushindwa kuvamia vijijini na kuiba vyakula kutokana na kuwepo kwa JWTZ karibu kila kijiji.
 
Kwani mlipoenda Somalia kulikua na serikali?, Alshabaab ndio iliyokua na Serikali huko Somalia[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe kwa akili yako kati ya Idd Amin na Alshabaab kuna tofauti?
Wewe ni wazimu. Ni nchi gani iliirecognise caliphate ya Alshabab? Ni kama kuniambia eti caliphate ya ISIS kule Syria na Iraq ilikuwa ni serikali. Punguza bangi.
 
Mbona shughuli ilimalizika ndani ya wiki 2 tu baada ya JWTZ kuingia Msumbiji kufuatia tukio la magaidi kuingia Tanzania na kuua watanzania mwezi juzi, sasa hivi kilichobaki ni kuwatafuta wachache waliotawanyika maporini kujificha.

Taarifa za kuaminika zinasema kwamba, miili ya magaidi mingi inaendelea kugunduliwa misituni ikiwa hawana silaha, dalili zinaonyesha kwamba wengi wamekufa kwa njaa baada ya kushindwa kuvamia vijijini na kuiba vyakula kutokana na kuwepo kwa JWTZ karibu kila kijiji.
Tunataka evidence sio vijimaneno tu.
 
Back
Top Bottom