Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Mbona juzi tumesikia kuwa Ureno inapeleka jeshi huko kuwasaidia Msumbiji.Mbona shughuli ilimalizika ndani ya wiki 2 tu baada ya JWTZ kuingia Msumbiji kufuatia tukio la magaidi kuingia Tanzania na kuua watanzania mwezi juzi, sasa hivi kilichobaki ni kuwatafuta wachache waliotawanyika maporini kujificha.
Taarifa za kuaminika zinasema kwamba, miili ya magaidi mingi inaendelea kugunduliwa misituni ikiwa hawana silaha, dalili zinaonyesha kwamba wengi wamekufa kwa njaa baada ya kushindwa kuvamia vijijini na kuiba vyakula kutokana na kuwepo kwa JWTZ karibu kila kijiji.
Na kuna waziri alikuwa anapinga wananchi kupewa silaha wapambane na magaidi.
