joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Alshabaab kila siku wanawapiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo hatujawai pingana vita na yyte yule ukanda huu, wengine wote waliobaki wameshawai kutwangana kisawasawa
Mkae na wa Somali vizuri sababu ndio walioshika nchi yenu, wa Somali ndio landlords wakubwa ambao wakiamua kuwatimua wakenya kwenye majumba yao nusu yenu mtalalia ngumiNchi yao tu imewashinda ndio watakuja weza ya wengine, huu ni uandishi wa kinafiki sana..
Kwanza wasomali wanaoishi kenya hata hawatamani kurudi somali zaidi huwaza kwenda mambele, we unaleta ngano zako hapa..
Wasomali wanaoishi kenya unawajulia wapi life style yao zaidi ya kuwajulia tu vijiweni
Yani jamaa ambao hawajui kitu huaga wana mdomo sana[emoji1787][emoji1787]Mkae na wa Somali vizuri sababu ndio walioshika nchi yenu, wa Somali ndio landlords wakubwa ambao wakiamua kuwatimua wakenya kwenye majumba yao nusu yenu mtalalia ngumi
Al shabab ni serikali? Nyie mlipoenda kutwangana na M13 huko Congo mlienda kutwangana na serikali ya DRC?Alshabaab kila siku wanawapiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jwtz ilishaingia kuwatoa hao magaidi ?Kwahiyo Amin alivyovamia ulitaka tukae kimya?, sisi sio Kenya, jeshi letu linaogopewa Africa nzima, ukitujaribu tunakutoa, uliza Idd Amin, M23 na Magaidi wa Msumbiji.
Sisi tunaishi vizuri na majirani zetu wote, tumepakana na nchi 8 lakini ni Kenya tu ndio hatuelewani nao, ninyi mnagombana na Somalia, Tanzania, Uganda, South Sudan na Ethiopia. Jirekebisheni.
Usizani kila unae mreply haapa JF ni ana akili sawa na za kwako izo ambazo zimefungiwa hazifikiri nje ya box,Nchi yao tu imewashinda ndio watakuja weza ya wengine, huu ni uandishi wa kinafiki sana..
Kwanza wasomali wanaoishi kenya hata hawatamani kurudi somali zaidi huwaza kwenda mambele, we unaleta ngano zako hapa..
Wasomali wanaoishi kenya unawajulia wapi life style yao zaidi ya kuwajulia tu vijiweni
Imekugusa kunako sio[emoji122][emoji122][emoji122]Usizani kila unae mreply haapa JF ni ana akili sawa na za kwako izo ambazo zimefungiwa hazifikiri nje ya box,
Utakapo maliza ukajisaidiw then ukalaleImekugusa kunako sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Somalia wataipindua kenya na kuiendesha kw amani kushinda nchi yyte ile kuwahi tokea..
"Uneskia raha sasa genius"
Kwani mlipoenda Somalia kulikua na serikali?, Alshabaab ndio iliyokua na Serikali huko Somalia[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe kwa akili yako kati ya Idd Amin na Alshabaab kuna tofauti?Al shabab ni serikali? Nyie mlipoenda kutwangana na M13 huko Congo mlienda kutwangana na serikali ya DRC?
Mbona shughuli ilimalizika ndani ya wiki 2 tu baada ya JWTZ kuingia Msumbiji kufuatia tukio la magaidi kuingia Tanzania na kuua watanzania mwezi juzi, sasa hivi kilichobaki ni kuwatafuta wachache waliotawanyika maporini kujificha.Jwtz ilishaingia kuwatoa hao magaidi ?
wamefikia hatua gan ?
Wewe ni wazimu. Ni nchi gani iliirecognise caliphate ya Alshabab? Ni kama kuniambia eti caliphate ya ISIS kule Syria na Iraq ilikuwa ni serikali. Punguza bangi.Kwani mlipoenda Somalia kulikua na serikali?, Alshabaab ndio iliyokua na Serikali huko Somalia[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe kwa akili yako kati ya Idd Amin na Alshabaab kuna tofauti?
Tunataka evidence sio vijimaneno tu.Mbona shughuli ilimalizika ndani ya wiki 2 tu baada ya JWTZ kuingia Msumbiji kufuatia tukio la magaidi kuingia Tanzania na kuua watanzania mwezi juzi, sasa hivi kilichobaki ni kuwatafuta wachache waliotawanyika maporini kujificha.
Taarifa za kuaminika zinasema kwamba, miili ya magaidi mingi inaendelea kugunduliwa misituni ikiwa hawana silaha, dalili zinaonyesha kwamba wengi wamekufa kwa njaa baada ya kushindwa kuvamia vijijini na kuiba vyakula kutokana na kuwepo kwa JWTZ karibu kila kijiji.