Somalia yawafukuza wanadiplomasia wote wa Kenya, yafunga ubalozi wake nchini Kenya

Mbona juzi tumesikia kuwa Ureno inapeleka jeshi huko kuwasaidia Msumbiji.

Na kuna waziri alikuwa anapinga wananchi kupewa silaha wapambane na magaidi.
 
Hamna jeshi la kupigana na nchi yoyote hapa Africa Mashariki, Uganda wanawatia vidole huko Migingo lakini mnaogopa kufanya lolote, Alshabaab wanaingia na kutoka wapendavyo na hamuwezi kuwafanya lolote[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita sio uji my friend. Migogoro Kati ya Nchi za Afrika ni neema kwa makaburu.
 
Kwa hivyo Uganda haijawahi kukwaruzana na Rwanda? Kwa hivyo Tanzania haijawahi kukwaruzana na Uganda? Uganda na Rwanda hazijawahi kukwaruzana na DR Congo?
Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ambayo haijawahi kupigana vita na serikali ya nchi nyingine.
Wakenya ujuaji umezidi hamjui diplomasia mmebaki kua kama kisiwa..sijui mirungi mtauza wapi sasa
 
Hivi kenya ni jirani yake gani hajakwaruzana naye, Uganda mgogoro wa migingo, Ethiopia juzijuzi tu, Somalia, Tanzania hiyo nchi imejaa mijitu mikorofi sana
Tanzania Migogoro Kati ya - Malawi, DRC, Kenya, Msumbiji, Rwanda, Uganda na Komoro. Nchi za Afrika na ujinga wa migogoro wenyewe kwa wenyewe...umaskini hautawatoka watu weusi Kama Kila siku ni chuki kwenye mitandao.
 
Mbona juzi tumesikia kuwa ureno inapeleka jeshi huko kuwasaidia msumbiji

na kuna waziri alikuwa anapinga wananchi kupewa silaha wapambane na magaidi
Sasa swala la msumbiji sisi watanzania linatuhusu nn mkuu kama tumeweza control upande wetu
 
Tunataka evidence sio vijimaneno tu.
Unajisikia uchungu kusikia JWTZ limeweza kushinda Ugaidi ndani ya muda mfupi, mlikua mnasema JWTZ haliwezi shinda vita vya ugaidi kwasababu sio Conventional war, kwamba Magaidi wanachanganyika na watu, tumeshinda haraka kuliko hata hiyo Conventional war. Kumbuka hata vita dhidi ya M23 pia tulitumia wiki 3 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao magaidi hamjawashinda. Next time watafanya mashambulizi humo Msumbiji mimi nitakukumbusha kauli yako kwamba TZ imeangamiza hao magaidi.
 
Kwa hivyo Uganda haijawahi kukwaruzana na Rwanda? Kwa hivyo Tanzania haijawahi kukwaruzana na Uganda? Uganda na Rwanda hazijawahi kukwaruzana na DR Congo?
Kenya ndio nchi pekee ukanda huu ambayo haijawahi kupigana vita na serikali ya nchi nyingine.
Sure

Na haijawahi kuivamia somalia
 
Hao magaidi hamjawashinda. Next time watafanya mashambulizi humo Msumbiji mimi nitakukumbusha kauli yako kwamba TZ imeangamiza hao magaidi.
Kwanza tumeyakomboa maeneo yote waliyokuwa wameyateka, hawana tena eneo wanaloshikilia kama ilivyokua kabla hatujaenda, sasa hivi wanavijiji wamerejea katika maeneo yao wanaishi kama kawaida bila wasiwasi wa kuvamiwa na kuuliwa na Magaidi, huo ndio ushindi tunaouzungumza.

Tofauti na Boko haram au Alshabab ambao wameshikilia maeneo ya nchi ambayo wanayatumia kuzalisha chakula na kupanga mashambulizi.

Hawa wa Msumbiji sasa hivi wamebaki kama majambazi, hata ikitokea wakifanya shambulizi, ni lile la kuvizia na kukimbia, sio kushambulia na kuteka kijiji au kuteka silaha, sasa hivi malengo yao sio tena kuanzisha dollar la Kiislam, sasa hivi malengo yao ni kupata chakula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania Migogoro Kati ya - Malawi, DRC, Kenya, Msumbiji, Rwanda, Uganda na Komoro. Nchi za Afrika na ujinga wa migogoro wenyewe kwa wenyewe...umaskini hautawatoka watu weusi Kama Kila siku ni chuki kwenye mitandao.
Hatujawahi kuwa na migogoro na DRC, msumbiji, komoro.

Uganda tulikuwa na mgogoro kipindi cha Idd Amini na tukamfurumsha
 
Dah....miraa tutauza wapi sasa ? ....dah[emoji2960]
 
Punguza vijiwe na kahawa!
Eti wiki 3 na ngoma bado! Hivi wewe huoni haya wakati unazungumza uongo?
 
Punguza vijiwe na kahawa!View attachment 1656200
Eti wiki 3 na ngoma bado! Hivi wewe huoni haya wakati unazungumza uongo?
Tumewafukuza katika maeneo yote waliyokua wanashikilia, sasa hivi wanavijiji wamerejea katika maeneo yao na hawashambuliwi tena, hao magaidi wapo misituni wanakimbia na wengi wanakufa kwa njaa, sasa kushinda vita ulitaka kusikia kuna kitu gani zaidi ya kurudisha maeneo yaliyotekwa na kuzuia mashambulizi mapya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…