Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya


Raisi wa Somalia akiwa ofisini kwake mara Mlipuko ukatokea nje Boooommm!!!!...angalia alivyoshtuka
 

Mlipuko mwingine ulitokea wakati akiongea na wafanyakazi wa Ikulu
Angalia mshituko kwenye sura yake.
 

Huu ni mlipuko wa kumi na Tano raisi akawa analala kwenye Handaki la zege.angalia mshituko kwenye sura yake.
 

Hatimae Raisi amekimbilia Marekani kwenda Kutibiwa hahahahahaa!!!!
 
Mbona sasa hv hawaisaidii hyo kenya kupambana na shababy
Somaliland ni nchi moja poa Sana sema haijatambulika kimataifa. Wanaonewa kwasababu walipopata Uhuru walijiunga na Somali ya Mogadishu Kwa hiari Yao ili watengeneze the great Somali . Baadae Rais wa Somalia alianza kuwaua ndio wakaamua kujitenga na kuanza kujenga nchi Yao wenyewe bila misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja Kenya nao waisome kidogo ingawa ni ndugu zetu kipindi kile cha idd Amin walitutelekeza tukaenda vitani bila kupata support Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan Mkuu naomba unifahamishe vizuri kuhusu kagera na mtwara, juu ya unguja na pemba ntafikiri porojo nimezisikia
Unguja na Pemba (Zanzibar) hawataki muungano wanataka wawerecognised kama independent country.

Mtwara anavuguvugu la kijitoa Tanzania anzishe taifa lake maana anaona rasilimali iliyopo kwake haimnufaishi inaenda kunufaisha jirani.

Kagera yeye anasema ametengwa yaani kama vile hawamtambui ilhali yeye ndiye yupo katikati ya East&Central Africa, wanadai serikali ilitakiwa kupafanya eneo la kitega uchumi.
 
Ogaaah! Naomba kujua hii nchi ya Somaliland imetokana na Somalia ama sivyo? Frankly sikujua kuwa kuwa kuna nchi inaitwa Samaliland Leo ndo najua hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Somaliland ni nchi iliyopata Uhuru wake miaka ya 70 ikaamua kujiunga na Somalia ili watengeneze the great Somali lakini dictector wa Somalia alianza kuwaua watu wa Somalia . Baadae Somaliland wakaamua kujitenga 1990 lakini hawatambuliki kimataifa kwahiyo wameamua kujenga nchi Yao wenyewe . Somaliland Wana democrasia kuzidi nchi zote za Africa na hakuna maalshabab kule Somaliland. Wanajenga nchi Yao peke yahttps://m.youtube.com/watch?v=mEGrV_1Pe_w
[emoji327] Somaliland is NOT What You Think... - YouTube



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somaliland ni nchi iliyopata Uhuru wake miaka ya 70 ikaamua kujiunga na Somalia
Somaliland ilipata Uhuru kabla ya Somalia habari ndio hio july26 1960
 

Mipaka mbona iko wazi kabisa hata mpaka wa bahari wa Kenya na Somalia.
 
Tukijifanya kuwa hayatuhusu iko siku Pemba mambo yatakuwa hivi
 
Kwakuwa haijatambulika tusiseme demokrasia kuliko zote Africa

Namibia 1st.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…