Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somalia inang'ang'ania mpaka wake ni kwenye mstari wa Blue ambao unakuja mpaka Pemba
Somaliland ni nchi moja poa Sana sema haijatambulika kimataifa. Wanaonewa kwasababu walipopata Uhuru walijiunga na Somali ya Mogadishu Kwa hiari Yao ili watengeneze the great Somali . Baadae Rais wa Somalia alianza kuwaua ndio wakaamua kujitenga na kuanza kujenga nchi Yao wenyewe bila misaadaMbona sasa hv hawaisaidii hyo kenya kupambana na shababy
Ngoja Kenya nao waisome kidogo ingawa ni ndugu zetu kipindi kile cha idd Amin walitutelekeza tukaenda vitani bila kupata support YaoRaisi wa Somalia anakusanya kundi kubwa la Vijana kutoka Djibouty na Ethiopia ambao ni makabila yaliyo karibu na Kabila lake lwa Usiri mkubwa.
Na ameshaongea na Raisi wa Djibouty kwa msaada wa kijeshi na inasemekana maongezi hayo yalifanywa huku milango ikiwa imefungwa.
Leo Asubuhi Jenerali wa majeshi ya Sudani aliwasili mjini Mogadishu kwa maongezi na Utawala huo wa Somalia.
Pia kuna habari zinazosambaa mitandaoni kuwa Askari wenye asili ya Kisomalia walio ndani ya Jeshi la Kenya wanapangwa ili kufanya hujuma na kutoa habari za siri za jeshi la Kenya
Kuna hatari vita hii ikachukua msimamo wa kidini pia ili Qatar na Turkey kusaidia kijeshi
Sisi kama Watanzania tusikubali kuona mwenzetu akinyolewa.
Unguja na Pemba (Zanzibar) hawataki muungano wanataka wawerecognised kama independent country.Samahan Mkuu naomba unifahamishe vizuri kuhusu kagera na mtwara, juu ya unguja na pemba ntafikiri porojo nimezisikia
Never! Wasomali huwajui wewe kesho watasema Pemba ni yao pia na Wamang'ati ni ndugu zao.Ngoja Kenya nao waisome kidogo ingawa ni ndugu zetu kipindi kile cha idd Amin walitutelekeza tukaenda vitani bila kupata support Yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Somaliland ni nchi iliyopata Uhuru wake miaka ya 70 ikaamua kujiunga na Somalia ili watengeneze the great Somali lakini dictector wa Somalia alianza kuwaua watu wa Somalia . Baadae Somaliland wakaamua kujitenga 1990 lakini hawatambuliki kimataifa kwahiyo wameamua kujenga nchi Yao wenyewe . Somaliland Wana democrasia kuzidi nchi zote za Africa na hakuna maalshabab kule Somaliland. Wanajenga nchi Yao peke yahttps://m.youtube.com/watch?v=mEGrV_1Pe_wOgaaah! Naomba kujua hii nchi ya Somaliland imetokana na Somalia ama sivyo? Frankly sikujua kuwa kuwa kuna nchi inaitwa Samaliland Leo ndo najua hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa haijatambulika tusiseme demokrasia kuliko zote AfricaSomaliland ni nchi iliyopata Uhuru wake miaka ya 70 ikaamua kujiunga na Somalia ili watengeneze the great Somali lakini dictector wa Somalia alianza kuwaua watu wa Somalia . Baadae Somaliland wakaamua kujitenga 1990 lakini hawatambuliki kimataifa kwahiyo wameamua kujenga nchi Yao wenyewe . Somaliland Wana democrasia kuzidi nchi zote za Africa na hakuna maalshabab kule Somaliland. Wanajenga nchi Yao peke yahttps://m.youtube.com/watch?v=mEGrV_1Pe_w
[emoji327] Somaliland is NOT What You Think... - YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
SomalilandSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Seems unahitaji msaada wa TanzaniaTukijifanya kuwa hayatuhusu iko siku Pemba mambo yatakuwa hivi
View attachment 1031027