Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu nilitaka kumaanisha Cabinda.
Ethiopia atakuwa na shida anajifanya kuwa rafiki yake lakini hata Pass kashindwa kuitambua?!Kenya, South Africa,Uganda,Finland,UK.Ghana,South Sudan
Vile vile ni Observer Status wa AU nadhani Mwaka huu wanapewa Full member.
Cabinda Angola ?Samahani mkuu nilitaka kumaanisha Cabinda.
Ndio Cabinda hawahitaji kuwa part ya Angola.Cabinda Angola ?
MTC | 101| [emoji769]
Sawa ,pia wanapakana na RDC ,watata sana hawaNdio Cabinda hawahitaji kuwa part ya Angola.
Absolutely yaani ukisoma geographia na historia dah unasahau shida kwa muda.Sawa ,pia wanapakana na RDC ,watata sana hawa
MTC | 101| [emoji769]
Absolutely yaani ukisoma geographia na historia dah unasahau shida kwa muda.
Africa isiposhtuka tutafikia kuwa na states 100 huko mbeleni maana Tanzania tu naona Mtwara na Kagera hawataki kuwa part ya Tanzania achilia Zanzibar.
Sababu za kujitenga sio kwamba wanataka watumie wenyewe hapana bali wanachukizwa na uvujaji rasilimali za eneo kutumika na kuendeleza eneo jingine wao wakibaki hola mfano utaona Mtwara Gas imepelekwa Dar es Salaam Mtwara amebaki holaaHahaha, Africa rasilimali ndio zinatuharibu,tunawazaga kugawana tu ,Cabinda kule almas ,dhahabu ipo sana ,Mtwara najua wajua kilichopo kule
MTC | 101| [emoji769]
Same kwa Kagera wao wankwambia walihitaji kuwa harbor ya East and Central Africa (Wawe na facilities kama Inter. Airport kuunganisha Burundi, Congo DR, Congo Rep., Uganda, Rwanda, South Sudan and Co lakini holaaHahaha, Africa rasilimali ndio zinatuharibu,tunawazaga kugawana tu ,Cabinda kule almas ,dhahabu ipo sana ,Mtwara najua wajua kilichopo kule
MTC | 101| [emoji769]
Same kwa Kagera wao wankwambia walihitaji kuwa harbor ya East and Central Africa (Wawe na facilities kama Inter. Airport kuunganisha Burundi, Congo DR, Congo Rep., Uganda, Rwanda, South Sudan and Co lakini holaa
Kahawa, Bati, Vanilla hawafaidiki eti lazima wauze Kilimanjaro kuwa processed au Dar na Mwanza.
NimekuelewaSababu za kujitenga sio kwamba wanataka watumie wenyewe hapana bali wanachukizwa na uvujaji rasilimali za eneo kutumika na kuendeleza eneo jingine wao wakibaki hola mfano utaona Mtwara Gas imepelekwa Dar es Salaam Mtwara amebaki holaa
Hata kama ungelikuwa wewe ni heli ujitenge ufanye yako.
Hii Africa naona ilitakiwa kuwa na States 10 tu.Nimekuelewa
MTC | 101| [emoji769]
Kuna tofauti kati ya Somalia na SomalilandSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia inaitambua Passi ya Somaliland nchi nyingine zitafuata tu Israeli pass yake ilikuwa haitambuliwi na nchi nyingi za majirani zake lakini sasa mambo mswanoEthiopia atakuwa na shida anajifanya kuwa rafiki yake lakini hata Pass kashindwa kuitambua?!
Africa tuungane tuache kikatana vipande.
Samahan Mkuu naomba unifahamishe vizuri kuhusu kagera na mtwara, juu ya unguja na pemba ntafikiri porojo nimezisikiaAbsolutely yaani ukisoma geographia na historia dah unasahau shida kwa muda.
Africa isiposhtuka tutafikia kuwa na states 100 huko mbeleni maana Tanzania tu naona Mtwara na Kagera hawataki kuwa part ya Tanzania achilia Zanzibar.
AdvertisementsEthiopia atakuwa na shida anajifanya kuwa rafiki yake lakini hata Pass kashindwa kuitambua?!
Africa tuungane tuache kikatana vipande.

UK SOMALILAND
New Home Office i nterim measures i ntroduced to facilitate travel for Somaliland passport
Somaliland: Expatriates Disregard UK Security Alert


