Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

Nakuelewa sana sema pia Rais Magufuli ni mwanasiasa. Mwanasiasa hucheza na hadhira, akienda kwa wazaramo na huko kibiti/sijui Rufiji atazungumza kwa viwango vyao. Akienda kwa wanaojielewa atazungumza kwa level zao pia.

Tanzania kwa wastani bado ni nchi yenye watu wa uswazi, watu wetu wengi hawawezi kujikita bongo zao kwenye masuala ya muhimu na mantiki. Ukienda kwa watu ukaanza kuongea vitu serious utashangaa utakavyopoteza hadhira na umaarufu.
 
Huyo mnayemwita raisi wenu kwangu mm ni kichaa tu kama alivyo wahi kusema mwenyewe😁😆😉
 
Ndio rais wetu huyo kuna mengi sana amefanya hapo na yote hayafai kabisa, kwamfano kuwaambia watu wakajisaidie nyumbani kwa DC na mkurugenzi wa wilaya, ni kituko na kukosa ustaarabu kabisa.
 
Kuna namna nyingi za kuzungumza na watu ukiwa kiongozi. Hii hutegemea aina ya watu, mazingira, rika, tabaka, mahusiano.

Si lazima kila wakati rais anapoongea awe serious. Kuna wakati wa utani pia. Hata akiwa kwenye mkutano na baraza la mawaziri pamoja na kuzungumza sensitive issues pia utani unakuwepo.

Akiwa serious wakati wote hata nyie mtalalamika mnaotaka leo hii asifanye utani.

Na hata huyo aliyeambiwa atapewa mama alijua ni utani tu. Sasa kama mnashindwa kujua upi ni utani basi mna tatizo.
 
Ndiyo kawaida ya attention seekers. Ila Kuna watu hawana mvuto aisee. Nyerere na Mandela hakuwahi kugawa hata njiwa lkn watu waliwapenda hatari.
Siyo attention seeker Bali we ndo unachuki za kipumbavu na ndio maana humpendi ukimuona anafurahiwa na watz anapowatatulia matatizo yako! We ungetamani aharibu ili watu wamchukie badala yake na kwa bahati mbaya yako anazidi pendwa tu!
 
Eti yule mzee aliandaliwa kama yule mama kilema pale ubungo ..au
 
Hapo mheshimiwa kazawadiwa Jogoo au kauziwa jogoo kwa laki moja?

Yule mzee mwenye jogoo ni mjanja mjanja wa mjini, ile scenario aliitengeneza ili kuuza jogoo wake kwa pesa ndefu.
 
anazidi pendwa tu!
Hapendwi hata na shetani huyu mshamba. Kama angekuwa anapendwa asingekuwa na hofu kiasi cha kuogopa ushindani wa uchaguzi hata ndani ya chama. Akaamua kuwatimua akina Membe ili agombee peke yake. Coward sonofabitch!
 
Hapendwi hata na shetani huyu mshamba. Kama angekuwa anapendwa asingekuwa na hofu kiasi cha kuogopa ushindani wa uchaguzi hata ndani ya chama. Akaamua kuwatimua akina Membe ili agombee peke yake. Coward sonofabitch!
Sasa ndugu yangu Nani anataka kupendwa na shetani!? Labda we tu! Sisi watz tunampenda na tutawathibitishia October 2020!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…