Some African countries and their slogans

Utamu wa kujua kingereza hauwezi ukaununua kwa hela, ukiwa mburula hata kama unazo shilingi ngapi unabaki huko kwa ze ze ze....halafu mbaya zaidi maskini kama wewe huna hela na haujui kingereza, double laana.
Hahah, sasa bro kama tayari akaunti imetuna Kingereza Cha nini ?
 
Hela hazina raha kama haujui namna ya kuzienjoy kwa kingereza kingereza, ukiingia hoteli za Bongo maana bafuni tu haujui ubonyeze nini, vyote vimeandikwa kwa kingereza. Unaishia kuagiza maji yaje kwenye karai.
 
Kwaiyo wabongo huwa hawaendi mahotelini sababu hawajui Kingereza
 
Huwa mnakwenda na kuunga unga tu hicho cha ze ze ze.... Kigereza raha banaa....kwanza unapoachia misamiati na kudatisha watu.
 
Kwaiyo wabongo huwa hawaendi mahotelini sababu hawajui Kingereza

Unaongea na mtu ambaye hajawahi toka nje ya mipaka ya kenya. Huyu MK254 hajawahi enda nje ya hapo kibera. Ndiyo maana haamini kuwa kuna wazungu kibao, tena blond with blue eyes wanaongea kiingereza mpaka unashindwa kushangaa.
 
Hehehe Danga la Buza naona unateseka sana, vipi kingereza umeshaanza kupata darasa???
Nilishawaambia mimi ni wale walioshindikana, nitawatesa sana....hehehe mishipa inawatoka hadi raha.
 
Mpaka utembee nje ya kibera, ndipo utakuwa na uwezo wa kunielewa.
 
Siku ukipata darasa la kingereza hapo Buza ndio utaacha kuteseka, ila tatizo hautakua na wa kukupa uzoefu maana kote huko hamna mwenye uwezo wa kutunga hata sentensi moja, utaendelea na hizo ze ze ze zako na hasira za kila siku......hehehe
 
Kwa kijaluo, maana ya "pinglinywee" ni mwezi-mchanga (mbili zimo, mbili zimefyatuka).

Vipi buddah, wewe hujivunii kunya hadharani?
Pinglinywee ni kijaluo ya wapi? I have never encountered such a word in Luo language
 
Ni kweli, "You have neva encountered" kwa sababu wewe ni goigoi.

"Pinglinywee" kwa kijaluo ni zezeta. Ndio nakueleza hapa.

Kama unabisha, muulize zezeta mkuu wa Kibera MK254

Kwako buddah.

Ona danga mwingine wa Uwanja wa fisi Manzese asiyejua kingereza, jifunze kingereza kidogo ili uanze kudanga maeneo ya matajiri nje ya Manzese.....hehehehehe...niliwaambia mimi ni wale walioshindikana, mpaka mjifunze kingereza, hizi hasira zenu zitapungua.
 
mimi ni wale walioshindikana
Na kweli. Kwa kuliwa boga umeshindikana! Haha.

Kwa hilo huna mpinzani! Umekubuhu katika ugawaji.

Nasikia umeteka nyara mabasha wote wa kizungu hapo mombasa!

Ukipiga kizungu chako uchwara cha hapa na pale.. "yes you know ofkozi", mambo yote kwatu! Unamwagiwa mpunga kwenye wowowo!
 
Hehehe hadi raha napenda namna huwa nawatibua...kingereza lazima ujifunze ila pia sidhani kama una uwezo wa kukielewa, utaendelea kudanga huko Manzese.....hehehehe
 
Hahahaha... hiko kizungu kinakutibua wewe tu. Ndio lugha yako spesheli ya kuwanasa mabasha wa kiitaliano.

Huku kinondoni burudani tupu! Hatutegemei kizungu kupata mkate.

Yes, ofkozi, you know..... blah blah....... lugha za mitego ya kikahaba (kizungu uchwara cha hapa na pale).

Kwako buddah!
 
Hehehe kizungu raha bana, ila kama maisha yako yote unaishia kitaa kwenye burudani za vigodoro na huna haja ya kutoka unaweza usihangaishe akili kukifahamu, ilmradi una mtu wa kukutafsiria menyu za kwenye simu zilizoandikwa kwa kingereza.
 
Haha. Utahangaika sana na kizungu chako koko.

Siku hizi mabasha zako wa mombasa wamejanjaruka wanataka miuno, sio kujibebisha bebisha na vizungu vya kuokoteza!

Ukija na zile yes, you know, by ze way, zis, zat..... huambulii kitu!

Ongeza miuno buddah! Vaa na shanga uzidi "kumnogesha".
 
Hehehe Kingereza ni mtaji kabisa huko Bongo, labda huku kidogo ndio huwa sio issue kubwa maana tunakitumia kuanzia chekechea hadi chuoni, ila wewe hapo ukiwekwa uongee na mwanafunzi wa chekechea Kenya unaishia ze ze ze....na ndio maana hautafaulu kujikomboa utoke kwenye uchangudoa wa shamba la fisi, jifunze misamiati kidogo ili upate soko Mikocheni....
 
Kwa bw MK 254 slogan ya tanzania ilipaswa iweje!!! (Najua jibu lako litakuwa THE LAZY OF AFRICA)

Ila yenu ilipaswa iwe ( THE GREAT PROSTITUTE OF AFRICA) maana si kwa mahaba hayo kwa mabwana zenu

Mnaongoza kwa usnitch Afrika nzima hakuna asiyewajua

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom