Hahahahaaa....kwani wewe unajua kiingereza!??
Hahah, sasa bro kama tayari akaunti imetuna Kingereza Cha nini ?Utamu wa kujua kingereza hauwezi ukaununua kwa hela, ukiwa mburula hata kama unazo shilingi ngapi unabaki huko kwa ze ze ze....halafu mbaya zaidi maskini kama wewe huna hela na haujui kingereza, double laana.
Ilitakiwa iwe the dead land of africaHahaha. Eti Tanzania ni brain of Africa. Wacheni mchezo bwana.
Hahah, sasa bro kama tayari akaunti imetuna Kingereza Cha nini ?
Kwaiyo wabongo huwa hawaendi mahotelini sababu hawajui KingerezaHela hazina raha kama haujui namna ya kuzienjoy kwa kingereza kingereza, ukiingia hoteli za Bongo maana bafuni tu haujui ubonyeze nini, vyote vimeandikwa kwa kingereza. Unaishia kuagiza maji yaje kwenye karai.
Kwaiyo wabongo huwa hawaendi mahotelini sababu hawajui Kingereza
Kwaiyo wabongo huwa hawaendi mahotelini sababu hawajui Kingereza
Unaongea na mtu ambaye hajawahi toka nje ya mipaka ya kenya. Huyu MK254 hajawahi enda nje ya hapo kibera. Ndiyo maana haamini kuwa kuna wazungu kibao, tena blond with blue eyes wanaongea kiingereza mpaka unashindwa kushangaa.
Hehehe Danga la Buza naona unateseka sana, vipi kingereza umeshaanza kupata darasa???
Nilishawaambia mimi ni wale walioshindikana, nitawatesa sana....hehehe mishipa inawatoka hadi raha.
Mpaka utembee nje ya kibera, ndipo utakuwa na uwezo wa kunielewa.
Pinglinywee ni kijaluo ya wapi? I have never encountered such a word in Luo languageKwa kijaluo, maana ya "pinglinywee" ni mwezi-mchanga (mbili zimo, mbili zimefyatuka).
Vipi buddah, wewe hujivunii kunya hadharani?
Ni kweli, "You have neva encountered" kwa sababu wewe ni goigoi.
"Pinglinywee" kwa kijaluo ni zezeta. Ndio nakueleza hapa.
Kama unabisha, muulize zezeta mkuu wa Kibera MK254
Kwako buddah.
Na kweli. Kwa kuliwa boga umeshindikana! Haha.mimi ni wale walioshindikana
Na kweli. Kwa kuliwa boga umeshindikana! Haha.
Kwa hilo huna mpinzani! Umekubuhu katika ugawaji.
Nasikia umeteka nyara mabasha wote wa kizungu hapo mombasa!
Ukipiga kizungu chako uchwara cha hapa na pale.. "yes you know ofkozi", mambo yote kwatu! Unamwagiwa mpunga kwenye wowowo!
Hahahaha... hiko kizungu kinakutibua wewe tu. Ndio lugha yako spesheli ya kuwanasa mabasha wa kiitaliano.Hehehe hadi raha napenda namna huwa nawatibua...kingereza lazima ujifunze ila pia sidhani kama una uwezo wa kukielewa, utaendelea kudanga huko Manzese.....hehehehe
Hehehe kizungu raha bana, ila kama maisha yako yote unaishia kitaa kwenye burudani za vigodoro na huna haja ya kutoka unaweza usihangaishe akili kukifahamu, ilmradi una mtu wa kukutafsiria menyu za kwenye simu zilizoandikwa kwa kingereza.Hahahaha... hiko kizungu kinakutibua wewe tu. Ndio lugha yako spesheli ya kuwanasa mabasha wa kiitaliano.
Huku kinondoni burudani tupu! Hatutegemei kizungu kupata mkate.
Yes, ofkozi, you know..... blah blah....... lugha za mitego ya kikahaba (kizungu uchwara cha hapa na pale).
Kwako buddah!
Haha. Utahangaika sana na kizungu chako koko.Hehehe kizungu raha bana, ila kama maisha yako yote unaishia kitaa kwenye burudani za vigodoro na huna haja ya kutoka unaweza usihangaishe akili kukifahamu, ilmradi una mtu wa kukutafsiria menyu za kwenye simu zilizoandikwa kwa kingereza.
Hehehe Kingereza ni mtaji kabisa huko Bongo, labda huku kidogo ndio huwa sio issue kubwa maana tunakitumia kuanzia chekechea hadi chuoni, ila wewe hapo ukiwekwa uongee na mwanafunzi wa chekechea Kenya unaishia ze ze ze....na ndio maana hautafaulu kujikomboa utoke kwenye uchangudoa wa shamba la fisi, jifunze misamiati kidogo ili upate soko Mikocheni....Haha. Utahangaika sana na kizungu chako koko.
Siku hizi mabasha zako wa mombasa wamejanjaruka wanataka miuno, sio kujibebisha bebisha na vizungu vya kuokoteza!
Ukija na zile yes, you know, by ze way, zis, zat..... huambulii kitu!
Ongeza miuno buddah! Vaa na shanga uzidi "kumnogesha".