BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Jameni inawezekana kuwa kweli, iwe ndio sababu Afrika inaongoza dunia kwa umaskini licha ya raslimali zote hizi. Kha kumbe tatizo lipo kwenye ubongo, hatubuni chochote. Hehehehe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ona hii ndio kiboko yao..... utacheka ufe!View attachment 1707238
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lolHahahaha... hiko kizungu kinakutibua wewe tu. Ndio lugha yako spesheli ya kuwanasa mabasha wa kiitaliano.
Huku kinondoni burudani tupu! Hatutegemei kizungu kupata mkate.
Yes, ofkozi, you know..... blah blah....... lugha za mitego ya kikahaba (kizungu uchwara cha hapa na pale).
Kwako buddah!
Siku hizi hawataki mambo ya kujibebisha na kile kizungu chako cha "you know you know" mingi.Hehehe Kingereza ni mtaji kabisa huko Bongo, labda huku kidogo ndio huwa sio issue kubwa maana tunakitumia kuanzia chekechea hadi chuoni, ila wewe hapo ukiwekwa uongee na mwanafunzi wa chekechea Kenya unaishia ze ze ze....na ndio maana hautafaulu kujikomboa utoke kwenye uchangudoa wa shamba la fisi, jifunze misamiati kidogo ili upate soko Mikocheni....