Some childhood memories

Some childhood memories

Jamaa tumefanana kiasi.
Kile kiua cha ndizi ambacho kinaninginia ndani yake kina vidude hivi vina majimaji matamu. Sasa tulikua tunapenda kunywa yale maji..Kuna jamaa mmoja alikua mkubwa afu mkorofi haswa..alituletea hayo madude tunywe. Mm na mdogo wangu tukafakamia..
Kumbe jamaa alijaza mate mle ndani hapakua na ile asali tena

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Aiseeee
 
Wale tuliokuwa tunakama vifaranga wa ndege wale wadogo kabisa wenye matumbo makubwa na hata hajaota manyoya na kuwachoma wakiwa hai kisha kuwala tujuane.
 
Mdudu fukufuku nimemuweka Sana kwenye tuchuchu zangu enzi hizo ili matiti yakuwe makubwa..[emoji3][emoji3] tulikuwa twaona wakubwa wanafauuuduuu[emoji57][emoji57] Natamani apatikane mdudu wa kupunguzaView attachment 1409389

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Hizi mambo nilizifanya sana, tulikuwa tunatia na utomvu wa mimea fulani hivi ili viumuke๐Ÿ˜….
 
Wale tuliokuwa tunakama vifaranga wa ndege wale wadogo kabisa wenye matumbo makubwa na hata hajaota manyoya na kuwachoma wakiwa hai kisha kuwala tujuane.
Vipanya vidogo vidogo vile vyekundu tulikua tunavitupia motoni. Sitaki kukumbuka.
Au unamfinya kifaranga hadi utumbo unatokea huku chini
 
Peeling Glue off Hand...
Peeling Glue off hand.png


Spinning the bottle.
Spinning the bottle.png


Truth or Dare.png




Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom