Some childhood memories

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Aiseeee
 
Wale tuliokuwa tunakama vifaranga wa ndege wale wadogo kabisa wenye matumbo makubwa na hata hajaota manyoya na kuwachoma wakiwa hai kisha kuwala tujuane.
 
Hahahaha! Hizi mambo nilizifanya sana, tulikuwa tunatia na utomvu wa mimea fulani hivi ili viumukeπŸ˜….
 
Wale tuliokuwa tunakama vifaranga wa ndege wale wadogo kabisa wenye matumbo makubwa na hata hajaota manyoya na kuwachoma wakiwa hai kisha kuwala tujuane.
Vipanya vidogo vidogo vile vyekundu tulikua tunavitupia motoni. Sitaki kukumbuka.
Au unamfinya kifaranga hadi utumbo unatokea huku chini
 
Yani hii nilikuwa na vibomba vyangu vya mpapai maalum kwa kazi hiyo..mama akishafua kazi Ni moja kuvipuliza tu[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tumetumia yale mabomba ya mpapai na vile vidude vyeupe vilivyomo kwenye mti wa muhogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…