Some childhood memories

 
Mimi nilikuwa naucheza huku nimechuchumaa ili nikiangusha tu kijiti niwahi kupiga mbio[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha [emoji1]
Kun ule mchezo wa hakiombeki
Una muwah mwenzio Unasema
"akiombeki akiombeki" haumpi
Akikuwah Wewe ukinunua kitu anasema
"kinaombeka kinaombeka" Unampa
 
Hahaha [emoji1]
Kun ule mchezo wa hakiombeki
Una muwah mwenzio Unasema
"akiombeki akiombeki" haumpi
Akikuwah Wewe ukinunua kitu anasema
"kinaombeka kinaombeka" Unampa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kuna mputo pia..hiyo huombi ukimuona mwenzio kashika kitu unapokonya tu..kupokonywa kunaumaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wenzangu tuliokuwa tunatengeneza watoto wa udongo au wa vitambaa..tunawaweka Rasta [emoji3] eti ndiyo nywele..Sasa Utumwe dukani na mchezo umenoga utatamani kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bon'goa tulikuwa tunacheza Hadi wa kike...Kuna siku nilipigwa dah! Nilikuwa na ngeu usoni Sina hamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabheja Sana, Unakumbukumbu Nzuri
Am totally Do not remember hiy Michezo
.
ila tuu Nakumbuk Baiskel ilitaka kunitoa uhai wangu, Hii Sitasahau [emoji2][emoji2]
Tulikua tunashindana
 
Maisha yangu ya uswahilini
1. Nimeenda kusaka vicheche kwenye mapori ya beach enzi hzo mbwa wangu anaitwa check dah nakumbuka na kupiganisha mbwa
2. Kufuga na kwenda kuvua samaki wa wadogo wa mapambo nilikua tunapuyanga mpaka sinza kwa mguu kwenye mitaro ya maji.
3. Kuvua samaki mtoni na kuja kupika nyumbani
4.tunapuyanga mpaka goba kisa maembe
Enzi hzo goba pori sana na chai maharage zpo.
5.shule ya msingi ijumaa nilikua kuanzia saa nne shule kama imeisha tunajikusanya hao kambi ya jeshi lugalo kusaka maembe dah aisee.
6. Kuwinda ndege
Sio siri nilikua mzuruari wa kutisha ila nimebadilika huwezi amini kama ndyo Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kwenda kuwinda Pimbi,sungura,digidigi,Swala,kucheza juu ya matawi ya miti,kibabababa na kimamamama,kuchonganisha ng'ombe wapigane,kuogelea mtoni,nk
aisee hizi moments sizisahau kamwe

Mambo ni mengi muda mchache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…