Someni hapa kuhusu Uchumba vs ndoa na ratiba

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana.

Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru.

Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu.

Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.
 
Ndoa haina ratiba hizo labda mke / mume wasijue wajibu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…