Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

nikiangalie yanayoendelea kwenye ndoa nying naona hawa kataa ndoa wana hoja sana tu.

hz ndoa za kufosi zimekuwa chungu na ndo chanzo cha tatizo la afya ya akili. ifikie pahala ndoa ziwe za muda maalumu mnakubaliana malezi ya watoto hlf kila mmoja anakata uwanja kivyake
 
Back
Top Bottom