OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji.
Lakini mtu asiye na elimu au mjinga kiasi ni rahisi kutoboa kwa sababu atajaribu kuuza pipi, mkaa, mayai n.k mpaka ajipate mwisho wa siku anatoboa.
Huwezi kumshawishi profesor aache kazi chuoni auze juisi ya ukwaju ili atajirike mkaelewana zaidi ata kuona mwendawazimu au atakuuliza umuonyeshe business plan utadhani business plan ndio utajiri.
Mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana kutajirika, maisha yanahitaji watu wenye uwezo wa kujifyatua fyuzi kwa muda ndio wanaotoboa na kutajirika.
Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kufanya mambo makubwa na ya kushangaza.
Mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana kutajirika.
Njia ya utajiri na ujinga (kujifyatua fyuzi) ziko direct proportional
Hii ndio observation yangu
Nawasilishq