Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji.

Lakini mtu asiye na elimu au mjinga kiasi ni rahisi kutoboa kwa sababu atajaribu kuuza pipi, mkaa, mayai n.k mpaka ajipate mwisho wa siku anatoboa.

Huwezi kumshawishi profesor aache kazi chuoni auze juisi ya ukwaju ili atajirike mkaelewana zaidi ata kuona mwendawazimu au atakuuliza umuonyeshe business plan utadhani business plan ndio utajiri.

Mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana kutajirika, maisha yanahitaji watu wenye uwezo wa kujifyatua fyuzi kwa muda ndio wanaotoboa na kutajirika.

Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kufanya mambo makubwa na ya kushangaza.

Mtu mwenye akili timamu ni ngumu sana kutajirika.

Njia ya utajiri na ujinga (kujifyatua fyuzi) ziko direct proportional

Hii ndio observation yangu

Nawasilishq
 
Observation hii ni methodology au ni tool? Na assumption ilikuwa nn?
 
Mi nahisi mwenye akili na asiye nazo wote wanaanza na mtaji mdogo ila baada ya hapo jinsi ya kuitmia faida unayoipata mwenye akili ataanza kuwekeza sehemu nyingine au kufungua tawi lengine la biashara yake na kwenye kujifyatua akili inaitwa risk mwenye akili anafanya calculated risk mfano uwezi kujifyatua na kutumia mtaji wote kufungua biashara sehemu ambapo hapana faida
 
Kuna ukweli kiasi fulani hapo

Mimi nilikuja kufahamu baadaye sana kuwa kutumia akili sana kwenye kila jambo ndiyo mwanzo wa kufeli maisha
 
Back
Top Bottom