Sometimes waandishi wetu nao wanachangia kutoendelea kwa Mpira

Slim dady

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
43
Reaction score
343
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka hewani hoyo habari bila kuifanyia utafiti
Wakaongea na meneja wa Tim akawaambia hilo jambo halijatokea hawakuridhika wakampigia msemaji wa Tim kamamnavyomjua Hajo sometimes majibu take yalivyo

Mwishoni nduo wanakuja kumuuliza mtanagzaji wao ambaye ndio alikws Arusha kwenye hiyi match na akazikanusha hizo taarifa

Nilichijifumza ni kuwa waandishi wetu wanachangia migogoro kwenye soka letu kwa nini wasingeanza kumuuliza edo kumwembe kuhusu huzo taarifa badala take wakaanza kutangaza bila uhakika na mwishoni kabisa ndio wakaja kumuuliza edo kumwembe
 
Mkuu waandishi wetu huwa wanaleta chokochoko hizo na wanatumwa kabisa ili kuleta tafrani ndani ya club.
 
Hao kina kitenge unaweza kuita waandishi hivi unakumbuka ishu ya senzo kabla hata ya kumhoji senzo walishaandika sababu za senzo kuondoka simba baada ya kutangaza ndio wakarudi kumhoji manara kwanini senzo ameondoka simba
 
Hicho leo hakikuwapata wachafu fm pekee yao hata kule ktk page za wachambuzi wa kituo cha iefuemu walikipata cha mtema kuni. Plus yule mtangazaji wa kituo cha mashariki afrika radio ktk page yake alikumbana na cheche za wana simba. Jamaa sijui wana jiona wao ndio wamesoma journalism pekee yao yaan wana fanya watu wote majuha kwamba hawajui ethics za journalism.
 
Hao kina kitenge unaweza kuita waandishi hivi unakumbuka ishu ya senzo kabla hata ya kumhoji senzo walishaandika sababu za senzo kuondoka simba baada ya kutangaza ndio wakarudi kumhoji manara kwanini senzo ameondoka simba
Nimemshangaa Sana huyo mwandish yani katoa kuongea na meneja ambaye yupo na team muda wote akapewa jibu akaona haitosh akakimbilia kumpigia manara mda huo huo
 
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka hewani hoyo habari bila kuifanyia utafiti
Wakaongea na meneja wa Tim akawaambia hilo jambo halijatokea hawakuridhika wakampigia msemaji wa Tim kamamnavyomjua Hajo sometimes majibu take yalivyo

Mwishoni nduo wanakuja kumuuliza mtanagzaji wao ambaye ndio alikws Arusha kwenye hiyi match na akazikanusha hizo taarifa

Nilichijifumza ni kuwa waandishi wetu wanachangia migogoro kwenye soka letu kwa nini wasingeanza kumuuliza edo kumwembe kuhusu huzo taarifa badala take wakaanza kutangaza bila uhakika na mwishoni kabisa ndio wakaja kumuuliza edo kumwembe
Tatizo kubwa baadhi ya waandishi w habari,ni mashabiki kindakindaki wa timu pendwa ya wananchi.Wanaumia Sana Tena Sana kuona mtani wao akiwa anafanya vizuri na menejenti ya mtani wao ipo vizuri,wanachofanya ni kupandikiza chuki, chokochoko napropaganda chafu dhidi yamtani wao,hawafanyi kwa bahati mbayaupo mpango mkakati wa kumdhofisha timu ya msimbazi ndani ya uwanja na nje ya uwanja.Rejea siku ya kilele Cha wananchi,mc kwa makusudi alimtangaza B3 kuwa yupo kwenye listi ya wachezaji wao,shukran kwa mzee kutoka Msoga aliwapa ukweli wao.
 
Screenshot_20200902-173051.png

Kweli kabisa Sasa mtu anjibiwa vizuri kabisa lakini bado analeta habari za kizushi, "tunajua kuwa habari zako ni za utani lakini kuna vitu unataikwa utumie akili"
 
Kichwa alicho pigwa kocha wa Simba na Kagere ata mbuzi anasubiri, kocha kapepewa nusu saaa hainuki, kafungwa na barafu lakini wapi[emoji23][emoji23][emoji23]. Jamani wazee wengine si wakutaniwa. Povu la nini ndio utani wenyewe wa Yanga na Mbumbumbu fc.
 
Kiukweli watangazaji walikosea kuongea na Manara hali ya kuwa walishaupata ukweli kutoka kwa meneja na wakakiri kabisa kwamba wanasimamia kauli hiyo ya meneja ila kwa upande wa pili Manara pia alikosea kutoa maneno yale tena on air hata kama aliumizwa kiasi gani na taarifa ile na hii sio mara ya kwanza kutoa kauli zisizo nzuri.....Ila yote kwa yote kila mtu anatakiwa aheshimu taaluma ya mwenzio na hata kama watu wakiwa washkaji wahakikishe utani hauvuki mipaka
 
Mwambieni na Haji nae aache kuharibu ' brand' za wenzake!
 
Back
Top Bottom