Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Mbwa mwitu ni mnyama mwenye sifa za kipekee ambazo wanadamu wengi wasasa hawana:
Kwanza: Ni mwema kwa wazazi wake.
Pili: Halali na familia yake kimapenzi, yani; Mama, dada n.k.
Tatu: Hupenda kuwa huru, na hufikia mpaka kujiua unapomfungia ndani na kumnyima uhuru wake.
Na daima huishi kwa umoja na ushirikiano.
Inasikitisha kuona;
Imefika kipindi wanadamu tunapitwa kitabia hata na wanyama.