min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sijasema hivyo mkuu , ila kuna namna tunatakiwa kujifunza kutoka kwao hasa kwenye kushirikiana na kupendana.hahahahha!so ngozi nyeusi ni wa ovyo kuliko sokwe?hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema hivyo mkuu , ila kuna namna tunatakiwa kujifunza kutoka kwao hasa kwenye kushirikiana na kupendana.hahahahha!so ngozi nyeusi ni wa ovyo kuliko sokwe?hahaha
Ila sisi pia ni wanyama tulio jipa tu umuhimu humu duniani ila kikawaida ni aina ya wanyama tu.Kuna page huko instagram nimesoma kisa kimoja nimesikitika mnoo..kijana na dada ake wamekulana mpk kuzaa mtoto..imajini ni kaka na dada wa damu.....kijana alikua anatoa confession at least moyo wake upoe kidogo...kaka kaoa tayari na dada mtu kaachika kwa mumewe ni singo maza mwenye mtoto na kaka ake...wakati wanafanya hayo yote dada alikua ameolewa.. ndo uone dunia inapoelekea mpk wanyama wanatushangaa
Wanyama ni hayawani, hawana akili wala utashi dhamiri ila wana silika, au namna yao kuishi kulingana na mazingira yao.Tuna dai binadamu wana kitu kinachoitwa utu ndio maana tukaitwa watu , binadamu ni mbinafsi ambayo siyo sifa ya utu , kwa nini sasa hiki cheo cha utu tusiwape wanyama ambao sio wabinafsi?
Wanyama pia wana akili kwa kiwango Chao.Wanyama ni hayawani, hawana akili wala utashi dhamiri ila wana silika, au namna yao kuishi kulingana na mazingira yao.
Binadamu pamoja na utu ana akili inayo changanua , ana dhamiri , anajua hili ni baya kulingana na tunavyo ishi kwa namna yetu na hili ni nzuri.
Kwa jinsi hio binadamu hataweza kufananishwa na na mnyama kwa mitindo ya maisha baina yao.
Ubifisi ulio sifa ya mwanadamu unafungwa katika dhamiri na ile akili inayo changanua mambo.
Ikumbukwe pia binadamu akili yake ipo kwa namna kadhaa (1) mind (2) subconscious mind (3) u subconscious mind. Hii inamtoutisha sana mwanadamu na hayawani.
Hujakutana na fisi...na kama ni ndege kuku anaongoza kwenye swala la mloTuna dai binadamu wana kitu kinachoitwa utu ndio maana tukaitwa watu , binadamu ni mbinafsi ambayo siyo sifa ya utu , kwa nini sasa hiki cheo cha utu tusiwape wanyama ambao sio wabinafsi?